njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
ukihitaji vya hivyo unicheki kwa harakaharaka hapa nime search hivyo vya mysteries vimekuja 500 plusDah sijasoma aisee kiongozi nimekuwa mvivu wa kusoma siku hizi, natazama sana documentary na channel za Youtube, na mara moja moja nasoma vitabu vya fiction stories tu. Vitabu vya Inspiration na Ujasiriamali sisomi kabisa.
Yani nimekuwa mvivu wa kusoma vitabu, ila naweza tumia muda kusoma mambo mengine ambayo hayana maana. Mfano unaweza kunikuta napoteza muda kusoma Incan Empire, ukanikuta nasoma mysery za the pyramids of Giza yani ndivyo vitu ambavyo nakuwa interested kusoma zaidi siku hizi.