Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata Leo Messi na yeye amatoa Bill 12.9 kwa ajili ya hao wahanga so hawa jamaa wangetoa hizo hela kwenye maafa ya Kagera zote zingeenda kununulia Bombadier.
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Kwa hali ya saivii hata ukivunja Nazi njia panda watu wanaenda kukuna na kuungia mboga! [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo una maanisha Uhuru Kenyata ni rais mzuri sana kwa kuwa anatoka familia tajiri, Na pia Ronaldo huko kwao hakuna maskini kabisa ndo maana amelimbikiza hela Benki mpaka kukatokea ajali ya ndege akachota sehemu aliyolimbikiza kusaidia wahangaHauna akili hata kidogo
Hapa nina maanisha asingekuwa na njaa za ajabu pia na moyo wa huruma wa kujitolea tofauti na huyu symbolic leader