Natamani Christiano Ronaldo angekuwa rais wa Tanzania

Natamani Christiano Ronaldo angekuwa rais wa Tanzania

Hatutaki raisi anaehudhuria Morocco kila day
 
Hata Leo Messi na yeye amatoa Bill 12.9 kwa ajili ya hao wahanga so hawa jamaa wangetoa hizo hela kwenye maafa ya Kagera zote zingeenda kununulia Bombadier.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hajatoa

Hyo taarifa ni fake.
Imeenezwa na mashabiki wake.
 
Hauna akili hata kidogo

Hapa nina maanisha asingekuwa na njaa za ajabu pia na moyo wa huruma wa kujitolea tofauti na huyu symbolic leader
Kwa hiyo una maanisha Uhuru Kenyata ni rais mzuri sana kwa kuwa anatoka familia tajiri, Na pia Ronaldo huko kwao hakuna maskini kabisa ndo maana amelimbikiza hela Benki mpaka kukatokea ajali ya ndege akachota sehemu aliyolimbikiza kusaidia wahanga
 
Wacha na Yanga Ndege yao itokee... Atachangia ila pesa zitapitia kwa Anko Magu kwanza
 
Lalamika weeee,ila namba utaendelea kuisoma mpaka hii mitano ipite.
 
Back
Top Bottom