Natamani Dully Sykes aingie ndani ya Afrimma2017

Natamani Dully Sykes aingie ndani ya Afrimma2017

Msukuma wa dar

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2016
Posts
1,160
Reaction score
1,195
Natamani Dully aingie kwenye hizi tuzo kwa mwakani ktk kipengere cha Msanii Chipukizi kama alichoshinda Harmonize jana.Tena waingie Dully Sykes na T.I.D Mnyama ktk kipengere hicho huku Harmonize akishiriki vipengere vingne km Msanii bora WA East Africa nk..
 
acha kufedhehesha wakubwa ww...hata kama watakuwa wamechoka bado ni ma legendary wa hii bongo flava ingawa huyu wakuitwa top in dsm sometimes anakuwa na mambo ya kijinga mf ishu ya kuzungumzia kumlala yule miss tz!!!
 
TID kwasasa anaweza kuimba tu kwenye Birthday party ya watoto, huku watoto wakishushia kitu cha juice ya Azam na TID akikata mauno.
 
acha kufedhehesha wakubwa ww...hata kama watakuwa wamechoka bado ni ma legendary wa hii bongo flava ingawa huyu wakuitwa top in dsm sometimes anakuwa na mambo ya kijinga mf ishu ya kuzungumzia kumlala yule miss tz!!!
Anafananisha ma Legend na Vitoto vyenye nyimbo Tatu
 
acha kufedhehesha wakubwa ww...hata kama watakuwa wamechoka bado ni ma legendary wa hii bongo flava ingawa huyu wakuitwa top in dsm sometimes anakuwa na mambo ya kijinga mf ishu ya kuzungumzia kumlala yule miss tz!!!
Sasa legendary wanamjua Afrimma!!jamaa vipi..
 
ebu watake radhi hao malegend
ivi unathubutuje kumtaja harmonize na msanii km T.I.D sehemu moja au dully atlist ungesema ata kina barnaba
Mungu anakuona ujue
 
ebu watake radhi hao malegend
ivi unathubutuje kumtaja harmonize na msanii km T.I.D sehemu moja au dully atlist ungesema ata kina barnaba
Mungu anakuona ujue
Labda amkuelewa point yng,Ni hivi Dully Sykes hajawai ingia kwenye tuzo hizo kwa maisha yke yote ya mzk.Lakn uyo dogo WA diamond kaingia na kafanikiwa kuchukua tuzo

Sasa najenga picha pale Afrimma watakapomuweka Dully (Naimani hawamjuikm n legends) kwny kipengere hicho alchoshnda dogo WA diamond.

Ndio ilikuwa hoja yng kuu
 
Soma wewe ulichokiandika huenda hukukitafakari kabla ya kuandika
Ngoja nkueleweshe kwa faida yko..
Nimemaanisha kwny tuzo za Afrimma,dully hajawai kunominate kwa maisha yke yote ya mzk

Sasa najenga picha pale watakapo mnominate km msanii chipukizi(naimani awamfaham km jamaa Ni legends)

Ndio ilikuwa hoja yang mkuu
 
Back
Top Bottom