Msukuma wa dar
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 1,160
- 1,195
Anafananisha ma Legend na Vitoto vyenye nyimbo Tatuacha kufedhehesha wakubwa ww...hata kama watakuwa wamechoka bado ni ma legendary wa hii bongo flava ingawa huyu wakuitwa top in dsm sometimes anakuwa na mambo ya kijinga mf ishu ya kuzungumzia kumlala yule miss tz!!!
watoto wa juz Hawafahamu hiliMwacheni Dullly nyie...Legend.
katurusha sana na mwanasesere style yake kipindi hicho.
na bado yuko mukide kabisa.
Anafananisha mlima na kichuguuPunguza dharau kijana
Sasa legendary wanamjua Afrimma!!jamaa vipi..acha kufedhehesha wakubwa ww...hata kama watakuwa wamechoka bado ni ma legendary wa hii bongo flava ingawa huyu wakuitwa top in dsm sometimes anakuwa na mambo ya kijinga mf ishu ya kuzungumzia kumlala yule miss tz!!!
Sijazungumzia issue za ulegendary mkuu.Nmezungumzia kuingia kwake AfrimmaMwacheni Dullly nyie...Legend.
katurusha sana na mwanasesere style yake kipindi hicho.
na bado yuko mukide kabisa.
Dharau gan sasa apo,em ludia kusomaPunguza dharau kijana
Sjafananisha mtu apo na wala sijabeza ulegendary wa dully.Ludia kusoma uziAnafananisha ma Legend na Vitoto vyenye nyimbo Tatu
Kama chipukizi au sio?Sijazungumzia issue za ulegendary mkuu.Nmezungumzia kuingia kwake Afrimma
Ile ngoma yake HUNIFAHAMU.....haichujiMwacheni Dullly nyie...Legend.
katurusha sana na mwanasesere style yake kipindi hicho.
na bado yuko mukide kabisa.
Soma wewe ulichokiandika huenda hukukitafakari kabla ya kuandikaDharau gan sasa apo,em ludia kusoma
Labda amkuelewa point yng,Ni hivi Dully Sykes hajawai ingia kwenye tuzo hizo kwa maisha yke yote ya mzk.Lakn uyo dogo WA diamond kaingia na kafanikiwa kuchukua tuzoebu watake radhi hao malegend
ivi unathubutuje kumtaja harmonize na msanii km T.I.D sehemu moja au dully atlist ungesema ata kina barnaba
Mungu anakuona ujue
Ngoja nkueleweshe kwa faida yko..Soma wewe ulichokiandika huenda hukukitafakari kabla ya kuandika