OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,315
- 13,269
No reform no electionAisee nyiee!!
Huu mwaka nimejikuta nasoma vitabu viwili vya zamani ambavyo naamini kila mtu amewahi kuvisoma, lakini hivi vitabu ukisoma neno kwa neno, mstari kwa mstari, ukisoma kwa kutafakari na kuhusianisha na maisha halisi ya mtaani hskika utagundua mambo mengi yakushangaza sana
View attachment 3318711
Cha pili ni hiki hapa chini
View attachment 3318713
Hatimaye nimewaelewa wanawake yaani nashindwa hata niseme nini wakuu
Hatimaye nimefungua code ambazo zilinishinda kwa miaka mingi kuzifungua, nmesoma sana lundo la vitabu mbali mbali ila hivi viwili ni moto wa kuotea mbali
Yaani sasa hivi naishi kwa raha sana 😆
Hii dunia hii jamani acheni tu dah! Hata machawa kumbe sio wajinga wanaishi na kula vizuri kuna siri kubwa ktk hivi vitabu viwili ukisoma utaelewa kwa undani
Mwenye maacho na asome, mwenye bando na afaidike
Muwe na wakati mwema wakuu na nawatakia mafanikio mema popote mlipo baada ya kusoma vitabu hivi
Ahsanteni
NtavitafutaAisee nyiee!!

Hiki nimekidownload faster na naanza kukisoma hapahapa. Inaweza kunisaidia kudili na wafuasi wangu korofi.Pia soma dark psychology utajua mengi kuhusu Mwamposa
Mimi nimesoma hicho cha pili. Habari za Chawa mle hakuna. Rudia kusoma tena. Chawa ni wanafiki, waongo na wazushi.Aisee nyiee!!
Huu mwaka nimejikuta nasoma vitabu viwili vya zamani ambavyo naamini kila mtu amewahi kuvisoma, lakini hivi vitabu ukisoma neno kwa neno, mstari kwa mstari, ukisoma kwa kutafakari na kuhusianisha na maisha halisi ya mtaani hskika utagundua mambo mengi yakushangaza sana
View attachment 3318711
Cha pili ni hiki hapa chini
View attachment 3318713
Hatimaye nimewaelewa wanawake yaani nashindwa hata niseme nini wakuu
Hatimaye nimefungua code ambazo zilinishinda kwa miaka mingi kuzifungua, nmesoma sana lundo la vitabu mbali mbali ila hivi viwili ni moto wa kuotea mbali
Yaani sasa hivi naishi kwa raha sana 😆
Hii dunia hii jamani acheni tu dah! Hata machawa kumbe sio wajinga wanaishi na kula vizuri kuna siri kubwa ktk hivi vitabu viwili ukisoma utaelewa kwa undani
Mwenye maacho na asome, mwenye bando na afaidike
Muwe na wakati mwema wakuu na nawatakia mafanikio mema popote mlipo baada ya kusoma vitabu hivi
Ahsanteni
Aaah Sawa MkuuHiki nimekidownload faster na naanza kukisoma hapahapa. Inaweza kujisaidia kudili na wafuasi wangu korofi.
Kuna mdau aliketa uzi humu akihoji kwanini mwanamke akiyehobgwa gali na mwanaume analika kirahisi na jamaa aliyemzibia pancha ya tairiCha pili nimekisoma. Ku implement very hard
Mkuu naomba iyo pdfHiki nimekidownload faster na naanza kukisoma hapahapa. Inaweza kujisaidia kudili na wafuasi wangu korofi.
Nmesoma sana Dark psychology mpaka vitabu vya neuroscience, psychology , sociology hadi body language, nkahamia kwa Rolo Thomas lakini wapiPia soma dark psychology utajua mengi kuhusu Mwamposa
Naomba soft copy ya vitabu hivyoAisee nyiee!!
Huu mwaka nimejikuta nasoma vitabu viwili vya zamani ambavyo naamini kila mtu amewahi kuvisoma, lakini hivi vitabu ukisoma neno kwa neno, mstari kwa mstari, ukisoma kwa kutafakari na kuhusianisha na maisha halisi ya mtaani hskika utagundua mambo mengi yakushangaza sana
View attachment 3318711
Cha pili ni hiki hapa chini
View attachment 3318713
Hatimaye nimewaelewa wanawake yaani nashindwa hata niseme nini wakuu
Hatimaye nimefungua code ambazo zilinishinda kwa miaka mingi kuzifungua, nmesoma sana lundo la vitabu mbali mbali ila hivi viwili ni moto wa kuotea mbali
Yaani sasa hivi naishi kwa raha sana 😆
Hii dunia hii jamani acheni tu dah! Hata machawa kumbe sio wajinga wanaishi na kula vizuri kuna siri kubwa ktk hivi vitabu viwili ukisoma utaelewa kwa undani
Mwenye maacho na asome, mwenye bando na afaidike
Muwe na wakati mwema wakuu na nawatakia mafanikio mema popote mlipo baada ya kusoma vitabu hivi
Ahsanteni
Ikikupendeza tuwekee vitabu vya DARK PSYCHOLOGY.Pia soma dark psychology utajua mengi kuhusu Mwamposa
Search hapa Jf Kuna Uzi una vitabu vingi sana.Naomba soft copy ya vitabu hivyo