Natamani kila mwana JF asome vitabu hivi viwili, ni zaidi ya degree ya saikolojia

Natamani kila mwana JF asome vitabu hivi viwili, ni zaidi ya degree ya saikolojia

Aisee nyiee!!

Huu mwaka nimejikuta nasoma vitabu viwili vya zamani ambavyo naamini kila mtu amewahi kuvisoma, lakini hivi vitabu ukisoma neno kwa neno, mstari kwa mstari, ukisoma kwa kutafakari na kuhusianisha na maisha halisi ya mtaani hskika utagundua mambo mengi yakushangaza sana
View attachment 3318711

Cha pili ni hiki hapa chini
View attachment 3318713


Hatimaye nimewaelewa wanawake yaani nashindwa hata niseme nini wakuu

Hatimaye nimefungua code ambazo zilinishinda kwa miaka mingi kuzifungua, nmesoma sana lundo la vitabu mbali mbali ila hivi viwili ni moto wa kuotea mbali


Yaani sasa hivi naishi kwa raha sana 😆

Hii dunia hii jamani acheni tu dah! Hata machawa kumbe sio wajinga wanaishi na kula vizuri kuna siri kubwa ktk hivi vitabu viwili ukisoma utaelewa kwa undani


Mwenye maacho na asome, mwenye bando na afaidike

Muwe na wakati mwema wakuu na nawatakia mafanikio mema popote mlipo baada ya kusoma vitabu hivi

Ahsanteni
Sasa Mkuu kama una nia ya dhati watu wavisome si ungeweka hapa pdf moja kwa moja
 
Mjuba kama vipo mtandaoni tupe link, maana kutafuta hard copy ni shughuli pevu
 
Mimi nimesoma hicho cha pili. Habari za Chawa mle hakuna. Rudia kusoma tena. Chawa ni wanafiki, waongo na wazushi.
Kitabu cha How to win Friends and Influence People kina himiza na kutoa mbinu mbalimbali kwa
watu jinsi ya kutengeneza marafiki na kuwa influence kwa nia njema. Sio kwa unafiki na uongo na umbeya kama wafanyavyo Machawa.
Hicho kitabu ni kama nyundo

Unaweza kuitumia kupigilia misumari ikakufaidisha


Au ukaitumia vibaya kwa kumtwanga nayo mtu kichwani


Itategemea unataka kukitumiaje

Ndio maana nikasema msome kwa kutafakari ni zaidi ya degree ya saikolojia

Wao chawa wanachokifanya ni kuongea kile anachokipenda boss

Hukuona hiyo mbinu? Au ni screenshoot?
 
Aisee nyiee!!

Huu mwaka nimejikuta nasoma vitabu viwili vya zamani ambavyo naamini kila mtu amewahi kuvisoma, lakini hivi vitabu ukisoma neno kwa neno, mstari kwa mstari, ukisoma kwa kutafakari na kuhusianisha na maisha halisi ya mtaani hskika utagundua mambo mengi yakushangaza sana
View attachment 3318711

Cha pili ni hiki hapa chini
View attachment 3318713


Hatimaye nimewaelewa wanawake yaani nashindwa hata niseme nini wakuu

Hatimaye nimefungua code ambazo zilinishinda kwa miaka mingi kuzifungua, nmesoma sana lundo la vitabu mbali mbali ila hivi viwili ni moto wa kuotea mbali


Yaani sasa hivi naishi kwa raha sana 😆

Hii dunia hii jamani acheni tu dah! Hata machawa kumbe sio wajinga wanaishi na kula vizuri kuna siri kubwa ktk hivi vitabu viwili ukisoma utaelewa kwa undani


Mwenye maacho na asome, mwenye bando na afaidike

Muwe na wakati mwema wakuu na nawatakia mafanikio mema popote mlipo baada ya kusoma vitabu hivi

Ahsanteni
Naomba soft copy mkuu
 
Back
Top Bottom