ministrant
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 1,400
- 2,623
Sasa Mkuu kama una nia ya dhati watu wavisome si ungeweka hapa pdf moja kwa mojaAisee nyiee!!
Huu mwaka nimejikuta nasoma vitabu viwili vya zamani ambavyo naamini kila mtu amewahi kuvisoma, lakini hivi vitabu ukisoma neno kwa neno, mstari kwa mstari, ukisoma kwa kutafakari na kuhusianisha na maisha halisi ya mtaani hskika utagundua mambo mengi yakushangaza sana
View attachment 3318711
Cha pili ni hiki hapa chini
View attachment 3318713
Hatimaye nimewaelewa wanawake yaani nashindwa hata niseme nini wakuu
Hatimaye nimefungua code ambazo zilinishinda kwa miaka mingi kuzifungua, nmesoma sana lundo la vitabu mbali mbali ila hivi viwili ni moto wa kuotea mbali
Yaani sasa hivi naishi kwa raha sana 😆
Hii dunia hii jamani acheni tu dah! Hata machawa kumbe sio wajinga wanaishi na kula vizuri kuna siri kubwa ktk hivi vitabu viwili ukisoma utaelewa kwa undani
Mwenye maacho na asome, mwenye bando na afaidike
Muwe na wakati mwema wakuu na nawatakia mafanikio mema popote mlipo baada ya kusoma vitabu hivi
Ahsanteni
Mkuu kisome tena mstari kwa mstari hakuna mwanamke atakaa akusumbueCha kwanza nilikisoma KWA masihara.
Cha pili nilikisoma nikiwa shule. Kiliniondolea kiwango flani cha ujinga. Carnegie Yuko vizuri.
Pdf zipo kwenye comments huko shuka nao utauona.Mjuba kama vipo mtandaoni tupe link, maana kutafuta hard copy ni shughuli pevu
Hicho kitabu ni kama nyundoMimi nimesoma hicho cha pili. Habari za Chawa mle hakuna. Rudia kusoma tena. Chawa ni wanafiki, waongo na wazushi.
Kitabu cha How to win Friends and Influence People kina himiza na kutoa mbinu mbalimbali kwa
watu jinsi ya kutengeneza marafiki na kuwa influence kwa nia njema. Sio kwa unafiki na uongo na umbeya kama wafanyavyo Machawa.
Nitakitafuta ili niwaelewe awa watu.Pia soma dark psychology utajua mengi kuhusu Mwamposa
Nmeweka soma post namba 19 udownloadNaomba soft copy ya vitabu hivyo
Muwe mnatuwekea pdf za hivyo vitabu ili na Sisi tuvisomePia soma dark psychology utajua mengi kuhusu Mwamposa
oh asante sanaKwanini uteseke mkuu
Mzigo huu hapa
Noma sana!Sijasoma hivyo vitabu ila hakika ni vizuri sana, nimepata maarifa mengi sana kupitia hvy vitabu.
Naomba soft copy mkuuAisee nyiee!!
Huu mwaka nimejikuta nasoma vitabu viwili vya zamani ambavyo naamini kila mtu amewahi kuvisoma, lakini hivi vitabu ukisoma neno kwa neno, mstari kwa mstari, ukisoma kwa kutafakari na kuhusianisha na maisha halisi ya mtaani hskika utagundua mambo mengi yakushangaza sana
View attachment 3318711
Cha pili ni hiki hapa chini
View attachment 3318713
Hatimaye nimewaelewa wanawake yaani nashindwa hata niseme nini wakuu
Hatimaye nimefungua code ambazo zilinishinda kwa miaka mingi kuzifungua, nmesoma sana lundo la vitabu mbali mbali ila hivi viwili ni moto wa kuotea mbali
Yaani sasa hivi naishi kwa raha sana 😆
Hii dunia hii jamani acheni tu dah! Hata machawa kumbe sio wajinga wanaishi na kula vizuri kuna siri kubwa ktk hivi vitabu viwili ukisoma utaelewa kwa undani
Mwenye maacho na asome, mwenye bando na afaidike
Muwe na wakati mwema wakuu na nawatakia mafanikio mema popote mlipo baada ya kusoma vitabu hivi
Ahsanteni
Zipo comment namba 19 nimeziwekaNaomba soft copy mkuu