Cash is king. Kwanini usiiuze kisha ununue gari jingine bila kuhofu juu ya exchange?Wapendwa natamani kubadilisha gari, hii nilonayo (Toyota Cami) simply nimeichoka japo haina shida yoyote. Natamani ku-upgrade nipate Prado TX diesel engine au Toyota surf new model.
Yard gani naweza kuwapa hii cami yangu kisha nikaongeza na cash juu wanipe Prado au Surf? Mawazo yenu plz
Ni wazo zuri, ila lidhani exchange ni ya haraka zaidi kuliko kusubiri hadi niuze kwanzaCash is king. Kwanini usiiuze kisha ununue gari jingine bila kuhofu juu ya exchange?
Uza kwa mtumiaji kisha agiza jingine. Hiyo exchange unaliwa huku na kule
Haraka ya nini? Itakucost milioni kadhaa.Ni wazo zuri, ila lidhani exchange ni ya haraka zaidi kuliko kusubiri hadi niuze kwanza
Ile gari yako inaendeleaje?Ikifika Prado yetu unishtue nije nipande ndinga yetu
Mpendwa; me sina gari wala "kile kitu changu"Ile gari yako inaendeleaje?
Kuna mada niliwahi kuona unataka kuagiza Rav 4/IST kama sikosei mpendwa. Au umekula pesa?Mpendwa; me sina gari wala "kile kitu changu"
Hapana mpendwa; itakuwa umefananisha IDKuna mada niliwahi kuona unataka kuagiza Rav 4/IST kama sikosei mpendwa. Au umekula pesa?
Haha can't waitHahaa wewe tena, si tutaenda wote kabisa kuichukua bandarini
@Atoto mambo yake sio ya kitoto; atakuwa nalo tu mcheckHivi Atoto hana Prado tubadilishane?!
Fanya tu uniachie lile vogue lako[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125]
Haha can't wait@Atoto mambo yake sio ya kitoto; atakuwa nalo tu mcheck
Hapana mpendwa; itakuwa umefananisha ID