Natamani kubadilisha gari

Natamani kubadilisha gari

mito

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2011
Posts
10,682
Reaction score
10,801
Wapendwa natamani kubadilisha gari, hii nilonayo (Toyota Cami) simply nimeichoka japo haina shida yoyote. Natamani ku-upgrade nipate Prado TX diesel engine au Toyota surf new model.

Yard gani naweza kuwapa hii cami yangu kisha nikaongeza na cash juu wanipe Prado au Surf? Mawazo yenu plz
 
Cash is king. Kwanini usiiuze kisha ununue gari jingine bila kuhofu juu ya exchange?

Uza kwa mtumiaji kisha agiza jingine. Hiyo exchange unaliwa huku na kule
 
Ni wazo zuri, ila lidhani exchange ni ya haraka zaidi kuliko kusubiri hadi niuze kwanza
 
Back
Top Bottom