Natamani kubadilisha gari

Unaiuza bei gani
 
Hapa najichanga ninunue Avon, nimefikisha elfu17. Naandaa fomu ya mchango maana kwa uwezo wangu mwenyewe siwezi inabidi ndugu zangu mniunge mkono.
Mmh kupitisha bakuli tena, sawa we tucheke tu bana
 
Kuna vitu vinatia hasira, yaani unaichoka gari ambayo mimi hata siijui. Naishia kuziona tu barabarani[emoji24][emoji24][emoji24]
Hahaaa umenikumbusha mbali sista, yaan niliwahiga kujisemea moyoni, magari yote haya barabarani mi sina hata tairi, loh[emoji15] [emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…