Natamani kubadilisha gari

Natamani kubadilisha gari

Wapendwa natamani kubadilisha gari, hii nilonayo (Toyota Cami) simply nimeichoka japo haina shida yoyote. Natamani ku-upgrade nipate Prado TX diesel engine au Toyota surf new model.

Yard gani naweza kuwapa hii cami yangu kisha nikaongeza na cash juu wanipe Prado au Surf? Mawazo yenu plz
Unaiuza bei gani
 
Hapa najichanga ninunue Avon, nimefikisha elfu17. Naandaa fomu ya mchango maana kwa uwezo wangu mwenyewe siwezi inabidi ndugu zangu mniunge mkono.
Mmh kupitisha bakuli tena, sawa we tucheke tu bana
 
Kuna vitu vinatia hasira, yaani unaichoka gari ambayo mimi hata siijui. Naishia kuziona tu barabarani[emoji24][emoji24][emoji24]
Hahaaa umenikumbusha mbali sista, yaan niliwahiga kujisemea moyoni, magari yote haya barabarani mi sina hata tairi, loh[emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom