Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukanimenshia nini mimi.. mambosoz?Tunaomba mrejesho hapa.
Haha nimekumisukanimenshia nini mimi.. mambosoz?
Kweli wanaume OG wanapotea duniani! Huko dunia ya kwanza tumeyasikia wakitamani wawe wanawake na kupelekewa moto! Ni shida..🥲😭🤬NImetoke kuvutiwa sana na ubebaji wa mimba kwa wanawake natamani vile vitumbo vinapo tangulia mbele najisikia furaha sana.
pia sichoki kuwaangalia wanawake wajawazito bilashaka wananipa furaha moyoni na machoni, nimefikia hatua nami kutaman nibebe mimba kama wao. moyo unanisukuma kufanya hivyo ili pia nivunje rekodi ya africa, nabado napambana ili siku moja nilete kiumbe duniani.
Si uko Bongo, mbona kuna wanaume wapenda waume wenzao hapo......hujaanza kushughulikiwa lakini?NImetoke kuvutiwa sana na ubebaji wa mimba kwa wanawake natamani vile vitumbo vinapo tangulia mbele najisikia furaha sana.
pia sichoki kuwaangalia wanawake wajawazito bilashaka wananipa furaha moyoni na machoni, nimefikia hatua nami kutaman nibebe mimba kama wao. moyo unanisukuma kufanya hivyo ili pia nivunje rekodi ya africa, nabado napambana ili siku moja nilete kiumbe duniani.
🤣🤣Yaani Kumbe kuna nyuzi za ajabu namna hii ziliwahi kuanzishwa humu, asee!
Yaani hata nimeshindwa kushangaa.