Natamani kubeba mimba niwe mwanaume wa kwanza Afrika

Yaani Kumbe kuna nyuzi za ajabu namna hii ziliwahi kuanzishwa humu, asee!

Yaani hata nimeshindwa kushangaa.
 
Huyu jamaa ana tatizo kubwa tu....hii sio hali ya kawaida
 
Kweli wanaume OG wanapotea duniani! Huko dunia ya kwanza tumeyasikia wakitamani wawe wanawake na kupelekewa moto! Ni shida..🥲😭🤬
 
Si uko Bongo, mbona kuna wanaume wapenda waume wenzao hapo......hujaanza kushughulikiwa lakini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…