Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Rest in peace. Amen. 🙏NImetoke kuvutiwa sana na ubebaji wa mimba kwa wanawake natamani vile vitumbo vinapo tangulia mbele najisikia furaha sana.
pia sichoki kuwaangalia wanawake wajawazito bilashaka wananipa furaha moyoni na machoni, nimefikia hatua nami kutaman nibebe mimba kama wao. moyo unanisukuma kufanya hivyo ili pia nivunje rekodi ya africa, nabado napambana ili siku moja nilete kiumbe duniani.