Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshenzi kabisa ww, unaweza sukumwa huko unakosema na usife Ila ukavunjika miguu na mikono, alafu Mungu akakupa miaka mingine 80.Kuna mda napita road na wish hata mtu anisukumize kwenye barabara nikanyagwe na gari nife
Ama nikipita Darajani atokee mtu anisukume nianguke chini ya daraja nife
At this point sion umuhimu wowote wa kuendelea kubaki hai ikiwa kila nachogusa kinafeli
I don't wish to see 2023 hope this one will not failed
Maskini inabidi tuwe tunasaidiana kweli kweli hii inatisha sana.Kuna jamaa etu askar tumemzika juz...yote ni tatzo la afya ya akili..jamaa kaamua kunywa sumu......habar za kujiua alikuwa anazisema sema iv kama utan iv