Natamani kufa

Natamani kufa

Failures didn't know how close they were to success when they gave up.
Usikate tamaa mkuu hayo unayopitia muda huu yatapita tu.
 
Kuna mda napita road na wish hata mtu anisukumize kwenye barabara nikanyagwe na gari nife
Ama nikipita Darajani atokee mtu anisukume nianguke chini ya daraja nife
At this point sion umuhimu wowote wa kuendelea kubaki hai ikiwa kila nachogusa kinafeli

I don't wish to see 2023 hope this one will not failed
Kwanini umefikia hatua hiyo
Kipi kimekufanya ufike hapo?
 
Rafiki jua sisi sote humu ndani tupo kwa ajili yako. Kwa hiyo kama unashida yoyote tuambie sisi tunaweza tusiwe na mali za kukupatia. But ninauhakika tunaweza kukushauri na kukutia moyo usikate tamaa sote tuko nyuma yako.
 
Mitandao pia inachangia sana, vijana wengi tunapenda kulinganisha maisha yetu na watu wa mitandao, hapo lazima upate stress mana unajilinganisha na maigizo
Ni kweli kabisa yani unajiona fulani anapesa inauma.
Vijana inabidi tuwaone kama movie tu. tutafute hela tuwe positive kwenye kila jambo baya. tutafika tu.
 
Shetani hana akili kabisa,anakupeleka kwenye kona unafikia mahali unakata tamaa kabisa,unaona ni kama vile Mungu hayupo na hawezi kukutoa hapo ulipo.Tafuta nyumba ya Mungu,omba toba na uombewe hiyo roho ikutoke,utakuwa free na njia zitafunguka,take my words na hutakaa unisahau,hiyo ni roho ya mauti inakuzengea....
 
Aisee pole sana ,huwenda tukafanya masihara tukamcheka na kumdhihaka ila depression is really jaman ,anahitaji msaada huyu mtu
 
I don't wish to see 2023 hope this one will not failed! (Fail)

Zingatieni hiyo tamati yake! Imebeba ujumbe muhimu mno na pengine kufikia sasa hatunaye!
Msimbeze watu wanapitia magumu mengi na hawana msaada
That sentence indicates he has had several attempts which failed and he hopes this one will not fail! May God Almighty intervene
 
That sentence indicates he has had several attempts which failed and he hopes this one will not fail! May God Almighty intervene
[emoji1540][emoji1540] The woman in the picture with a smile is Salwa Hussein, the woman without a heart in her body, a rare case in the world as she carries her artificial heart in her bag. The British newspaper, ‘Daily Mail’ reported that Salwa, aged 39 is the mother of 2 children. The bag containing her heart is always with her and has a device with 2 batteries weighing 6.8kg. It is an electric monitor and a pump. The batteries help push the air into the plastic bag into the patient’s chest through attached tubes for blood circulation... seeing that smile on her face makes me wonder, am I weak in faith? Have I shown enough gratitude to God? Do I really have a problem? Have we ever stopped to count the countless mercies bestowed upon us by our creator? Can We praise Him enough? He indeed is most compassionate, most merciful, most loving, most caring.... let’s thank Him at least for good health and pray that we pass every exam He set for us in many ways. Let us sincerely thank God God I thank you for your mercies towards me[emoji1545]
IMG-20221211-WA0140.jpg
 
Hiyo hali ilishawahi nipata japo huwa inajurudia mara kadhaa,Kuna kipindi nilipitia wakati mgumu sana...Ilifika kipindi nilikuwa nalewa sana,Kuna siku nasikia nililia sana bar,Kuna jamaa yetu mmoja alikuwa ananidhihaki kwamba inakuwaje mwanaume nalia...!!??mi nilisamehe tu kwa sababu nilijua hakujua changamoto nnazopitia..mwaka juzi tukapata taarifa kuwa jamaa yule aliyekuwa ananidhihaki amejinyonga polini,mshikaji alikuwa yuko tu vizuri kiuchumi..watu wote tukabaki na mshangao,imekuwaje jamaa ajinyonge!??..tatizo nini!??..katika kufanya uchunguzi kumbe jamaa alikuwa akimsomesha mpenzi wake nursing,siku walipokwaruzana tu kidogo demu alimtolea mshikaji maneno makali yaliyompelekea jamaa kujirestisha..ila yote kheri mimi bado napitia wakati mgumu lakini motivation quotes za fb na insta zimenisaidia sana nisiwe muongo..
 
Kuna mda napita road na wish hata mtu anisukumize kwenye barabara nikanyagwe na gari nife
Ama nikipita Darajani atokee mtu anisukume nianguke chini ya daraja nife
At this point sion umuhimu wowote wa kuendelea kubaki hai ikiwa kila nachogusa kinafeli

I don't wish to see 2023 hope this one will not failed
Jiulize ndoto ulizo zipanga nan atazitimiza kila mtu anapitia changamoto furah kwa asilimia hata moja ya mafanikio
 
Nyanyuka
Tembea kwa nusu saa ukikata mitaa
Kunywa maji
Nenda saluni kanyoe
Oga
Paka mafuta
Vaa nguo safi
Kula chakula ukipendacho
Sikiliza mziki mzuri wenye maneno ya kutia moyo au hata usio na maneno
Kunywa maji tena
Panga chumba chako

Kaa sehemu safi upumzike, utazame mawazo yako yanavyorukaruka,
utagundua sio wewe unayewaza hayo mawazo mabaya kwasababu wewe ndio unayatazama hayo mawazo yanayokuja na kupotea
Na pia hakuna anayejiombea mabaya, kwahiyo hayo sio mawazo yako

Jifunze kutambua mawazo mabaya yanapozuka akilini na uyatazame mpaka yatakapoondoka,
Na zaidi yafukuze kwa kuwaza mazuri

Wewe ni wa thamani
Ulizaliwa na kutunzwa hadi umejitambua kwasababu wapo waliyoona thamani yako

Bado wengine hujakutana nao wataona thamani yako punde watakapokutia machoni

Better days are yet to come for you, things always work out in the end, don't loose your spirit
 
Kuna jamaa etu askar tumemzika juz...yote ni tatzo la afya ya akili..jamaa kaamua kunywa sumu......habar za kujiua alikuwa anazisema sema iv kama utan iv
 
Kuna mda napita road na wish hata mtu anisukumize kwenye barabara nikanyagwe na gari nife
Ama nikipita Darajani atokee mtu anisukume nianguke chini ya daraja nife
At this point sion umuhimu wowote wa kuendelea kubaki hai ikiwa kila nachogusa kinafeli

I don't wish to see 2023 hope this one will not failed
Kumbe wewe unazuga na hujaamua kufa ndio maana unashindwa kujirusha darajani au kunywa sumu..

Mtu anawtamani kufa huwa hasemi.
 
Kuna mda napita road na wish hata mtu anisukumize kwenye barabara nikanyagwe na gari nife
Ama nikipita Darajani atokee mtu anisukume nianguke chini ya daraja nife
At this point sion umuhimu wowote wa kuendelea kubaki hai ikiwa kila nachogusa kinafeli

I don't wish to see 2023 hope this one will not failed
'Mjue Sana MUNGU ili uwe na amani ndipo mema yatakapokujia'
 
Nenda kanisan,au msikitini km muislamu , shetani mbaya huwa kuna muda anampa mtu mawazo machafu kwa faida yake,tena kwa kumkumbusha mabaya tu .only God can heal your pain ,pia muda huponya majeraha yote, give it time.
 
Dont do anything bad to urself pal, just keep it up, watu tunaanguka tunachafuka na kudhalilika ama kudharauliwa lakini tuna inuka tunafuta mavumbi na tunapita katikati yao na kuendeleza fights, hakuna kukata tamaa, wala kurudi nyuma.

Try this idea, hama mahali ulipo na ukaanze kufight sehemu nyingine ambapo hujulikani, huku fanya mishe yoyote ile bila kuona aibu, as long as inakuingizia kipato cha halal just do, pray and then work, itakua sawa tu, kila mtu hupitia changamoto kubwa sometimes, hata unaoona wana pesa sana ila wanachangamoto zao kubwa pia, ila hakuna anaejiua. Be blessed.
 
Nahisi kama una point fulani ingawa wengi watabeza
Wale wanaochukulia ndoa ni uwanja wa mapambano au wale waliokariri ndoa zote ni hell hawawezi kunielewa hapa..ila the first comforter kwangu ni Mungu wa pili ni husband wangu..kuna wkt hata ndugu huwa wanakukimbia upitiapo magumu ila ukiwa na familia imara wao ni wafiriji..
 
Kuna mda napita road na wish hata mtu anisukumize kwenye barabara nikanyagwe na gari nife
Ama nikipita Darajani atokee mtu anisukume nianguke chini ya daraja nife
At this point sion umuhimu wowote wa kuendelea kubaki hai ikiwa kila nachogusa kinafeli

I don't wish to see 2023 hope this one will not failed
Ukaweza ukaona pesa ndo kila kitu hadi unapoikosa unaona maisha hayana thamani..lakini nikwambie ukweli afya njema ni kila kitu
Itakufaidia nini kesho upate mil 100 mkononi,mipango ifanikiwe huku afya huna hata kunyanyuka ukafurahia huo utajiri huwezi?

Be patient..hakuna lisilo na mwisho
Hata mie napitia changamoto sana lakini siachi kuwapa moyo wengine
.na naamini kila lenye mwanzo lina mwisho
 
Back
Top Bottom