Natamani kufa

Natamani kufa

Kuna mda napita road na wish hata mtu anisukumize kwenye barabara nikanyagwe na gari nife
Ama nikipita Darajani atokee mtu anisukume nianguke chini ya daraja nife
At this point sion umuhimu wowote wa kuendelea kubaki hai ikiwa kila nachogusa kinafeli

I don't wish to see 2023 hope this one will not failed
Pole sana nini...... bado una nafasi please usikate tamaa
 
Oya Mwanenu mapenzi yanataka Kunitoa Roho.

Nipeni msaada kwenyeHili...
Mwenzenu pia nina hali ngumu.
Nimesoma stori yako naona ni hali ya kawaida tu huna haja ya kupanik. Kama tamu ulishapewa basi inatosha. Mimi nilishawahi kuliwa milioni kadhaa na bado nilisalitiwa sana tu. Watu wengi tushapigwa na hawa watoto wa mjini. Ili uwe salama amua kuachana nae kabisa. Ukiendelea nae atakumaliza hata hela ya kujikimu utakosa. Atakuharibia maisha. Mshahara wa 2m ni mdogo kwa maisha ya leo kama hutatumia akili vizuri. Ila pia ni mkubwa ukijituliza. USIMWONEE HURUMA MWANAMKE KAMA SIO MKEO.
 
Mkuu una smart phone afu unasema umekata tamaa acha masihara basi[emoji23](joking)

Mkuu unaweza kutushirikisha kisa chako hapa hii itakupunguzia mzigo uliokuwa nao moyoni, na sisi tunaweza kukusaidia Kwa hali na mali(Kuna watu wana mpunga mrefu humu watakutoa hata 100k ya mtaji[emoji23]) na mawazo yakafungua fikra chanya kichwani mwako

Sijui unachopitia bro, lakin lolote unalopitia we sio mtu kwanza kupitia, huyu mungu sio mkatili kiasi hiko iwe ni wewe wakuteseka, mwanga utakuja mbele kidogo, kaza bro, tutashinda hii vita

Kujiua sio jibu, Wenda ukatamni kurudi baada ya kukutana nacho uko, kuwa na subra tu na uweke amani baina yako na mungu wako, itakuwa sawa[emoji109][emoji109]
 
Kuna mda napita road na wish hata mtu anisukumize kwenye barabara nikanyagwe na gari nife
Ama nikipita Darajani atokee mtu anisukume nianguke chini ya daraja nife
At this point sion umuhimu wowote wa kuendelea kubaki hai ikiwa kila nachogusa kinafeli

I don't wish to see 2023 hope this one will not failed
Kama haupo Hospitalini wala jela basi tatizo lako linatatulika. Kitu muhimu ni afya njema na uhuru. Achana na mawazo ya kishetani. Mshukuru Mungu kwa pumzi na huo uhuru. Ikiwa ngumu kwako muombe Mungu akuonyeshe mtu wa kumsimulia kinachokusibu ili akushauri na kukusaidia.
 
Kuna mda napita road na wish hata mtu anisukumize kwenye barabara nikanyagwe na gari nife
Ama nikipita Darajani atokee mtu anisukume nianguke chini ya daraja nife
At this point sion umuhimu wowote wa kuendelea kubaki hai ikiwa kila nachogusa kinafeli

I don't wish to see 2023 hope this one will not failed
Naomba tuwasiliane[emoji1545]
 
Yani ufe kisa mwanamke "Malaya" anakusumbua?? Be serious aise hata ukifa sasa huko mbinguni si utaenda kutandikwa bakora kwa kufa kizembe?

Pole sana kwa mazito unayopitia Mungu akufanyie wepesi uyashinde.
 
Hujafa hujaumbika! Ilimradi bado unapumua, una nafas kubwa ya kubadilisha mtazamo mkuu angalia katika mizani ya kimaisha na ukubali kua una ka unafuu ukijilinganisha na watu wengine who got it worse than u..fikiria kuna watu wanapitia kama yako au zaid yako na hawana smart phone, vita, ukame, mahututi, gerezani, cancer, deathrow, na mabalaa chungumzima.

Naomba react kwa ku reply msg za watu humu au ku like comment zao pls ili tujue uko active mkuu, nakutakia kila la kheri 🙏
 
Kaká usitaman kujiua, ww ni wathaman mno, changamoto ni kawaida eleza tático usaidiwe,, nishawai kupitia kipindi kama hicho nlipokua muwaz nilisaidiwa
 
Ukiona mazingira uliyopo yanakupa msongo wa mawazo; safiri utoke nje ya mji ukutane na watu wengine, kufanya hivyo unaimarisha afya ya akili.
Umeandika kitu kikubwa sana ambacho wengi wetu hatukijui, wanasema huwezi kupona kwenye mazingira yaliyokupa ugonjwa, kwa maana hiyo ukitoka kwenye mazingira hayo basi utajikuta unaimarika na hata rizki usiilazimishe ije hapo hapo ulipo, toka nenda sehemu zingine huko ndiko kwenye rizki yako.
 
Kuna mda napita road na wish hata mtu anisukumize kwenye barabara nikanyagwe na gari nife
Ama nikipita Darajani atokee mtu anisukume nianguke chini ya daraja nife
At this point sion umuhimu wowote wa kuendelea kubaki hai ikiwa kila nachogusa kinafeli

I don't wish to see 2023 hope this one will not failed
Hutakufa bali utaishi nawe uyaone mafanikio ya mipango yako kisha uushuhudie ukuu wa Bwana. Usikate tamaa.
 
Kuna mda napita road na wish hata mtu anisukumize kwenye barabara nikanyagwe na gari nife
Ama nikipita Darajani atokee mtu anisukume nianguke chini ya daraja nife
At this point sion umuhimu wowote wa kuendelea kubaki hai ikiwa kila nachogusa kinafeli

I don't wish to see 2023 hope this one will not failed
Uache mawazo ya kijinga na uache ubinafsi. Unajifikiria wewe tu b.w.e.g.e wewe! Maumivu utakayoachia wenzio unayachukulia poa? Yani ningekujua ningekushika nikutandike sana.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Hizi mada naziogopa sana,kuna mtu aliwai kuposti hivi watu wakamdihaki sana wakijua ni uongo na kuna watu humu huwa wanatabia za kitoto bsdala ya kushauri wao wanatukana, ambacho hawaelewi ni kua kweli hawa watu wanapitia magumu,kesho yake tulisikia mtoa mada kajinyonga,niliumia sana sababu mada niliiona na nikashindwa kuchangia chochote..

Mimi nadhani viongozi wa jamii forum inapaswa wabadilike,kama wanaweza kufungia watu wakitoa mada zisizofaa basi hivyo hivyo wafungie watu wanaoleta utoto kwenye vitu serious..
 
Matthew 11:28
Come to Me, all you who labor and are heavy laden, and I will give you rest.
 
Back
Top Bottom