Natamani kufa

Natamani kufa

Kuna mda napita road na wish hata mtu anisukumize kwenye barabara nikanyagwe na gari nife
Ama nikipita Darajani atokee mtu anisukume nianguke chini ya daraja nife
At this point sion umuhimu wowote wa kuendelea kubaki hai ikiwa kila nachogusa kinafeli

I don't wish to see 2023 hope this one will not failed
Mkuu ni kama umeniwahi. Usiku wa leo nimemuaga mke wangu kuwa I'm more likely to die as i don't see the essence of life anymore.
 
Mkuu pole sana.

Kwa ushauri, hama eneo ulilopo kaanze maisha mapya. Kama ni mzinzi acha kabisa uzinzi, kama ni mlevi hivyo hivyo acha ulevi.

Kuna jambo halipo sawa kwenye mwenendo wako na ndio chanzo kila unachofanya kinafeli, jifanyie tathmini mkuu.

Mwisho ishi na watu, usiishi mwenyewe, huwenda mambo yanakwama sababu haujifunzi toka kwa watu. Kuwa msikivu pia, ni ngumu ila jitahidi.
 
Aisee, tatizo nini mkuu?. Pole sana
Acha tu mkuu. Mimi ni mkristo kwa kuzaliwa ila umefika wakati siuoni uwepo wa huyu Mungu maana kila njia kwangu imefunga na najikuta kwenye series ya matatizo mno tena makubwa. Niko engulfed tena kwa kingo ngumu sana. I just see the worst part of the world tena kwa muda mrefu sana. Zaidi ya miaka kumi sasa.
 
Japo kwangu haihusiani na mapenzi, mahusiano wala ndoa. Nina mke anayenipenda na watoto pia wananipenda na nawapenda wote. Ninaiona pia jamii inanipenda lakini ni nature tuu imekuwa rude to me
 
Mitandao pia inachangia sana, vijana wengi tunapenda kulinganisha maisha yetu na watu wa mitandao, hapo lazima upate stress mana unajilinganisha na maigizo
Nilitaka nicomment kama wewe ila umeniwahi.
Watu wengi kinachowatesa ni kujilinganisha na watu wengine.
Ukijishusha maisha yanakuwa rahisi mno.
Yaani ishi kulingana na kipato ulichonacho kwa sasa na uwe flexible kuishi kulingana na kipato
 
I don't wish to see 2023 hope this one will not failed! (Fail)

Zingatieni hiyo tamati yake! Imebeba ujumbe muhimu mno na pengine kufikia sasa hatunaye!
Msimbeze watu wanapitia magumu mengi na hawana msaada
 
Ni kweli kabisa
 
Japo kwangu haihusiani na mapenzi, mahusiano wala ndoa. Nina mke anayenipenda na watoto pia wananipenda na nawapenda wote. Ninaiona pia jamii inanipenda lakini ni nature tuu imekuwa rude to me
Pole mkuu,,sasa mkuu ukifa..watoto wako unaowapenda utawaacha na nani?
Just pull up your socks and live for them
 
Pole mkuu,,sasa mkuu ukifa..watoto wako unaowapenda utawaacha na nani?
Just pull up your socks and live for them
kuendelea kuishi pia sio guarantee kama kila kitu kitakuja kukaa sawa pia
 
Back
Top Bottom