Wakuu kwenye familia yetu tuna asset muhimu kama ardhi, mashamba na nyumba kadhaa ila usimamizi ndio hakuna
Kama mtoto niliesomeshwa na kuhitimu elimu ya juu natamani siku moja familia yangu iwe familia kubwa na yenye miradi endelevu kwa manufaa ya familia na jamii kwa ujumla
Wakuu, kwa heshima na taadhima naomba mnipe muongozo na mawazo kipi nifanye ili kufikia malengo yangu ya kufaifanya familia iwe kama ya Bakhresa
Natanguliza shukrani
Mimi bado sijafika pia kwa hiyo sina cha kukushauri pia ,simba bigwa.Kwa level yangu kuwafikia hao watu ni baina ya mbingu na ardhi labda kama una cha kunishauri mkuu nitasaidika pia
Kuwa na ule utamadanu wa kutojiibia kwanza ukifanikiwa kuwa nao warithishe watoto wako .
Ndio mchakato sasa wa kuwa kama waoKwa maana tuukane ubini wa mzee wetu tujiite ubini wa wahindi si itakuwa tunaendelea kuwanufaisha wao
EwaaaaaWavalishe mawigi wanao.
wapake na unga wa tofali za kuchoma usoni
tayari mnafanana na mo au bakhresa