Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi pia tunatamani tuwe kama hao hao uliowataja sasa ukituomba sisi ushauri wakati hatuishi na hao watu na hatujawafikia ni kama unatutukana boss..Wakuu kwenye familia yetu tuna asset muhimu kama ardhi, mashamba na nyumba kadhaa ila usimamizi ndio hakuna.
Kama mtoto niliesomeshwa na kuhitimu elimu ya juu natamani siku moja familia yangu iwe familia kubwa na yenye miradi endelevu kwa manufaa ya familia na jamii kwa ujumla.
Wakuu, kwa heshima na taadhima naomba mnipe muongozo na mawazo kipi nifanye ili kufikia malengo yangu ya kufaifanya familia iwe kama ya Bakhresa.
Natanguliza shukrani.
1. Hapana walishafarikiJibu kwanza maswali yafuatayo:-
1. Wazazi wako bado wapo hai?
2. Baba yako alikua ana wake wangapi?
3. Mmezaliwa wangapi na wewe ni mtoto wa ngapi?
4. Ndugu zako mlio zaliwa nao wana ajira ama wana namna wanajiingizia kioato?
5. Hali ya mahusiano ndani ya familia yenu yapoje?
6. Umewahi kumshirikisha mzazi wako kama unatamani kuendeleza mashamba, kuboresha majengo ama kuendeleza viwanja?
Nipe tu mipango mkuu, nikiwa na mipango ndio nitaweza kuwashawishiChangamoto ya kwanza ni ndugu zako mliozaliwa pamoja, wataanza kukuwekea vikwazo na kuona kama unafaidi vile..
Ukiweza kuwashawishi ndugu wakakuelewa, njoo sasa nikupe mipango.
Mchawi ndugu.
Ni kweli siwezi kulifikia ila nahitaji kuanzisha msingi imara huenda vitukuu wakaja kufanikisha kuwafikiaNasikitika kukujulisha kuwa utajiri wa mo na bhakhresa sio fungu la wengi mkuu. Unaweza ukawa na utajiri lakini usiifikie ile level yao.
Wakuu kwenye familia yetu tuna asset muhimu kama ardhi, mashamba na nyumba kadhaa ila usimamizi ndio hakuna.
Kama mtoto niliesomeshwa na kuhitimu elimu ya juu natamani siku moja familia yangu iwe familia kubwa na yenye miradi endelevu kwa manufaa ya familia na jamii kwa ujumla.
Wakuu, kwa heshima na taadhima naomba mnipe muongozo na mawazo kipi nifanye ili kufikia malengo yangu ya kufaifanya familia iwe kama ya Bakhresa.
Natanguliza shukrani.
🤣🤣🤣🤣🤭Mimi bado sijafika pia kwa hiyo sina cha kukushauri pia ,simba bigwa.
Usichukue ushauri wa ndoa kwa mtu ambae wala hana ndoa wala kuwahi kuoa🤣🤣🤣🤣🤣🤭
Yaan sikuhizi sijui upoje🤣🙌Usichukue ushauri wa ndoa kwa mtu ambae wala hana ndoa wala kuwahi kuoa🤣
Siku hizi sitaki kupindisha maneno🤣Yaan sikuhizi sijui upoje🤣🙌
Ile true colour imejitokeza kabisa 🙌Siku hizi sitaki kupindisha maneno🤣
Huwezi pata ushauri mzuri humu mkuuMimi ni wa kiume mkuu kwanini niolewe?