Mleta mada Resouce zote unazo financialy na people(ndugu zko)
Kinachokosekan n bussines Ideas utakazo invest ili u diversify.
NOW YOU ARE ASSET RICH BUT CASHFLOW POOR
Inahitaj utafte Idea na strategies both long term and short term kabla missunderstanding bain ya ndugu hazijaanz kuibuka. Waite wote mkae muweke goals.
Unaonekana unapenda n kulazimisha family Bussines IF U WANT TO GO FAST GO ALONE IF UWANT TO GO FAR GO TOGETHER.
Wewe ukiona ndugu Haeleweki unamkataa kaa karibu tu wenye MINDSET ulionayo wewe, hao wengi unaotak kushirikiana nao wengne hawana malengo na mindset kama yko,
ushawauliza wana malengo gani?. You only need Right people ndugu wengi watakurudisha nyuma. Punguza circle yko kwanza ata hao kina MO sio ndugu wote wapo kwenye biashara only the selected Few.
Ukikaa na watu waliofanikiwa watakuambia siri ni kuwa na Roho ngumu na mbaya yenye kuchukua maamuzi magumu iwezekanavyo ili kuwafikisha kwenye ndoto zao..
Ukiniitaji kwa mentorship, bussiness plan na ushauri am available