mcTobby JF-Expert Member Joined Feb 16, 2018 Posts 7,894 Reaction score 22,679 Oct 14, 2026 #1 Maana ngoma za hii kwaya huwa zinanikumbusha Enzi hizo nikiwa mwema kabla Dunia haijaniambukiza madhambi🤣🤣. In serious note nataka kujua historia ya hii kwaya wadau nitashukuru sana
Maana ngoma za hii kwaya huwa zinanikumbusha Enzi hizo nikiwa mwema kabla Dunia haijaniambukiza madhambi🤣🤣. In serious note nataka kujua historia ya hii kwaya wadau nitashukuru sana