MDANGANYIKAJI
Member
- Jan 27, 2011
- 77
- 59
Si kweli Darassa kajaza jana na yupo peke yake hamna cha Clouds wala Vera Sidika. Wacha maneno weka muziki....Kitu kimoja wazi leo nikuwa hakuna msanii yoyote Tz akajaza ukumbi peke yake bila kushirikisha wengine mpaka wavaa vichupi. Safari ndefu bado.
hahhahahaaahahaaaaa....kidoti leo kiba kapiga mangapi
Kwa kiingilio cha Bei Gani ???? Na sehem Gani ???Si kweli Darassa kajaza jana na yupo peke yake hamna cha Clouds wala Vera Sidika. Wacha maneno weka muziki....View attachment 450096
Nastic girl with profoundAkili zangu unataka uzielewe wewe kama nani?Zikusaidie nini?
IQ yangu ikiwa ndogo wewe una hasara gani?
Sawa sina exposure, wewe inakuhusu nini?
Mimi ambaye akili zangu huzielewi,IQ ndogo,sina exposure unanifuatilia...huoni kama wewe ndio hujielewi,IQ ndogo na huna exposure kwa kumfuatilia unayesema ana IQ ndogo?
Ungekuwa na akili kubwa ungejali kuhusu mtu usiyemjua?
Idiot
VIP 10000Si kweli Darassa kajaza jana na yupo peke yake hamna cha Clouds wala Vera Sidika. Wacha maneno weka muziki....View attachment 450096
We ndo ulete picha ya kweli iliyopigwa angle zote[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Siku hizi kuunganisha picha imekuwa dhambi [emoji23]
Hivi kabisa mnadhani tungeandaa show bila kuwa na uhakika kuwa itatulipa??
Sisi wafanyabiashara, hatujaandaa show Ili kujifurahisha..
Kwahiyo lemutuz amedanganya?? Millard ayo amedanganya?? Hebu tupeni nyinyi picha za kweli..
Povu la mwendo kasiAkili zangu unataka uzielewe wewe kama nani?Zikusaidie nini?
IQ yangu ikiwa ndogo wewe una hasara gani?
Sawa sina exposure, wewe inakuhusu nini?
Mimi ambaye akili zangu huzielewi,IQ ndogo,sina exposure unanifuatilia...huoni kama wewe ndio hujielewi,IQ ndogo na huna exposure kwa kumfuatilia unayesema ana IQ ndogo?
Ungekuwa na akili kubwa ungejali kuhusu mtu usiyemjua?
Idiot
Inaa kwa usiku mmoja umeudhuria shoo mbili mikoa miwili tofauti?? [emoji15] [emoji15]WATU WACHACHE SANA HATA WA DARASA KULE BABATI WAMEZIDI
Kumbe umesikia[emoji15] pole Sana za kuambiwa changanya na zako.Naskia jamaa amejaza, muitikio watu kibao mpaka tiketi zimeisha, zilienda kuprintiwa tena
Nikuletee mimi kijakazi wako?? Nenda mitandaoni huko na kwenye mablogu utazikuta..We ndo ulete picha ya kweli iliyopigwa angle zote
[emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] ila kweli hata mimi huwa namfikiliaga sana huyu lemetuz kwa umri alaiokua nao,,hvi kanza ana matoto kweli huyuKama duniani kuna wazee wanajutia siku waliyopiga bao wakatunga mimba za watoto wao flanflan bado mzee malechela analaani siku hiyo bao la huyu kijana wake....fuc$#@k the day he was born a bastard
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] hata pensi ya mkubwa fella,,nimecheka sanahilo tisheti la lemutuz ukilichana kitambaa chake unaweza kushona suruali zangu 10.
Umenena Mkuu! Huu mwaka wa tatu sasa magazeti uchwara yanaandika utaniri feki "anguko la diamond limefika" lakini jamaa daily anapiga hatua elfu kwenda mbele..Watanzania sisi ni watu wa ajabu ogopa sana, ndio maana diamond magazeti yameandika weee kua anguko la diamond, lakini dogo hashuki, nazani wenye roho mbaya wanaona anachelewa kushuka, ili baadae watumie kama rejeo kuwatisha wengine wenye mafanikio, waseme alikuwepo diamond
Kwa ukumb gani wenye uwezo wa kujaza watu elf kumi hata watu mia 2 hapo wakutafutaMy country Tanzania. Tunachangamoto sana. Yaani siye furaha yetu MTU aharibikiwe au akose. Eti imebuma. Hongera diamond kujaza watu zaidi ya elfu kumi kwa 30, na kilo 1 siyo masihara...
Najua watani zenu upande wa pili watakuwa wamezima simu.
"Kumuelewesha chizi utajipa kazi"[emoji23] [emoji23] ibume mara mbili??
Zile picha wametengeneza, ukumbi ulikuwa mtupu hakuna mtu hata mmoja, yani hata tiketi moja haijauzwa.. Lemutuz tu ndio alikuwepoKwa ukumb gani wenye uwezo wa kujaza watu elf kumi hata watu mia 2 hapo wakutafuta
Hawa watu hawajafika 2000 eheee! Hivi shule ulienda kusoma au kusindikiza wenzio , ukiwa na chuki hata kufikiria kwa ubongo inakuwa shidaKwa ukumb gani wenye uwezo wa kujaza watu elf kumi hata watu mia 2 hapo wakutafuta