Natamani kujua kinachoendelea Jangwani Sea Breeze

Natamani kujua kinachoendelea Jangwani Sea Breeze

1482614060005.jpg
 
Mmmmh hivi huyu msela ana familia?maana huu umri wa 50+ ni wa magonjwa ya kisukari na tezi dume.... kama hana kids basi imekula
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] mwee jamanii
 
Diamond kanunua watu ili wajaze show.
... In janja janja's voice.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nina uhakika kuna watu wamepata adabu.

Jamani ku-maintain fans base sio jambo lepesi.
 
Back
Top Bottom