Natamani kujua kinachoendelea Jangwani Sea Breeze

Natamani kujua kinachoendelea Jangwani Sea Breeze

Shemeji pita mitandaoni huko kwa watu wetu wa press! Picha zipo kibao..

Kacheki kwa kifesi, issaazam, almaszambele, millardayo, lemutuz, etc
Mkuu muonyeshe hizi aone ilivyobuma
1482612248590.jpg

1482612258888.jpg
 
Acha zako hizo wewe.
Picha za kuunga manake zimekuwa cropped.
Kwanini msiweke picha mojamoja?
Halafu inaingia akili picha za eneo moja kuunganishwa?
Picha zote zimepigwa karibu na stage halafu zimeunganishwa?
Jeez...something must be wrong.

Halafu Millard Ayo,Le Mutuz wote ni watu wenu.
Angekuwepo ripota kutoka EATV sawa.
Period
Hizo picha kapost djommycrazy wa EATV sasa unataka reporter gani mwingine toka EATV duu Mimi ni hater wa diamond ila wewe ndugu yangu umezidi hahaha
 
-Clouds fm
-Vodacom Tz
-Mkesha wa X-mass
-Dar es salaam
Kwa factor hizi hata mwanangu best Nasso anajaza uwanja wa Taifa bila shida,tuachane na idadi ya watu tuambieni WCB wanafanya balaa gani leo maana idadi ya watu ilikua iko wazi kama nanliiu ya kuku duh mimi niko zangu La chaaz hapa nahisi JPM anasingiziwa kuhusu hali ngumu maana tumejaa.
 
Back
Top Bottom