Natamani kujua kinachoendelea Jangwani Sea Breeze

Kwanini picha zimeunganishwa na sio moja moja? Cha kuchekesha zaidi picha zote zimepigwa eneo moja karibu na stage.
Ndio maana jana nilisema leteni picha za angle zote.

Hata hivyo kwa hali ya sasa mmejitahidi,sio mbaya sana.
Nifah kama umeolewa nadhani una wivu sana kwa mwenzio, kama kwa Diamond na Alikiba uko hivi je kwa mmeo.

Watanzania hatutaendelea kwa Wivu, Unafiki, Majungu, Umbea, Majigambo na Majivuno, Dharau, Uvivu wa kufikiri mpaka kufanya kazi, U TEAM usiokuwa na faida U simba na U yanga na Siasa zilizoegemea ushabiki wa vyama.

The best tools to kill your own future and Success is your own Hands and Tongue.
 
Zile picha wametengeneza, ukumbi ukikuwa mtupu hakuna mtu hata mmoja, yani hata tiketi moja haijauzwa.. Lemutuz tu ndio alikuwepo
Jibu mubashara , Unajua mtu ambaye anandoto ya kufanikiwa au alishafanikiwa Hua hawezi kuwakatisha tamaa wenzake , ukiona mtu yeye tabia yake kuponda mafanikio ya watu Basi jua Ni looser na hatofanikiwa
 
Mkuu kuna uwezekano mwisho wa dunia ukafika tukiwa malofa wa akili na Mali kwa sababu ya wivu, unafiki, uvivu wa kufiri na kufanya kazi.

Kwa hiyo hapo kuna watu furaha yao ilikuwa ni kuona show haina watu ili watengeneze stories.

NDIO MAANA MZEE ALISEMA WAMUACHE AINYOOSHE NCHI.
 
Ukitaka kila kitu kifanywe kama unavyotaka wewe basi kila kitu kitakuwa na mapungufu uliyonayo wewe.
 
kwa jiji la dar lenye watu zaidi ya milioni 5...hao ni wachache sana
We kweli akili huna , uwanja wa taifa unaingiza watu 60,000 ukichukulia idadi wa watu wa Dsm zaidi ya milioni 5 bado itaonekana ni watu wachache sana kimtazamo wako
Hiyo nyomi kiingilio ni 30,000 na laki moja
Unadhani ni kazi ndogo
 
Maneno mengi bila maana ni sawa na supu bila mchuzi.

Mafanikio ya Diamond na Alikiba kimuziki ni nuru kwa walio chini yao.

Kampeni na harakati zenu za ushabiki maandazi ni kirusi kwenye Tasnia ya muziki.

support @ Alikiba
support @ Diamond.

Tanzania inahitaji Exposure yako kuinua muziki wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…