Jick
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 1,327
- 2,041
Nifah kama umeolewa nadhani una wivu sana kwa mwenzio, kama kwa Diamond na Alikiba uko hivi je kwa mmeo.Kwanini picha zimeunganishwa na sio moja moja? Cha kuchekesha zaidi picha zote zimepigwa eneo moja karibu na stage.
Ndio maana jana nilisema leteni picha za angle zote.
Hata hivyo kwa hali ya sasa mmejitahidi,sio mbaya sana.
Watanzania hatutaendelea kwa Wivu, Unafiki, Majungu, Umbea, Majigambo na Majivuno, Dharau, Uvivu wa kufikiri mpaka kufanya kazi, U TEAM usiokuwa na faida U simba na U yanga na Siasa zilizoegemea ushabiki wa vyama.
The best tools to kill your own future and Success is your own Hands and Tongue.