Natamani kujua kinachoendelea Jangwani Sea Breeze

Daaa !! Sema hawakuweka fungulia mbwa mwisho wa show waliniboa kishenzi
 
Tukiongea ukweli
Diamond alijutahidi ila hakujaza uwanja ule kuanzia stand ya wale jamaa wa kamera palikuwa wazi hapakuwa na watu
Mbele watu walikuwepo wengi
Picha zilichukuliwa upande wa hao watu wengi na ndio ilivyo hata kama show ilikuwa na watu wachache ila bado Diamond alifanya vizuri
 
Kama nimekukera pole Nifah. But jitahidi kuwa na high reason capacity..juzi nilishauri kuwe na vetting ya memba humu. Ushabiki na chuki usikufanye ukawe kituko kabsa.
 
We mtu nmejikuta nakufurahia kwa jinsi ulivyo mjibu huyu bwege.ungekua karibu ungekuja moja moto moja baridi
 
Ulihudhuria show hiyo au unaongozwa na hisia
 
Ulikuwepo?
 
Mbona unahangaika sana kuu kulazimisha hakujaza tatizo nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…