Natamani kujua kinachoendelea Jangwani Sea Breeze

Punguza jazba weka picha bila ku-crop
216bfef6115d8749649f2eb30dbc5661.jpg
 
Daaa !! Sema hawakuweka fungulia mbwa mwisho wa show waliniboa kishenzi
 
Tukiongea ukweli
Diamond alijutahidi ila hakujaza uwanja ule kuanzia stand ya wale jamaa wa kamera palikuwa wazi hapakuwa na watu
Mbele watu walikuwepo wengi
Picha zilichukuliwa upande wa hao watu wengi na ndio ilivyo hata kama show ilikuwa na watu wachache ila bado Diamond alifanya vizuri
 
Akili zangu unataka uzielewe wewe kama nani?Zikusaidie nini?
IQ yangu ikiwa ndogo wewe una hasara gani?
Sawa sina exposure, wewe inakuhusu nini?

Mimi ambaye akili zangu huzielewi,IQ ndogo,sina exposure unanifuatilia...huoni kama wewe ndio hujielewi,IQ ndogo na huna exposure kwa kumfuatilia unayesema ana IQ ndogo?
Ungekuwa na akili kubwa ungejali kuhusu mtu usiyemjua?
Idiot
Kama nimekukera pole Nifah. But jitahidi kuwa na high reason capacity..juzi nilishauri kuwe na vetting ya memba humu. Ushabiki na chuki usikufanye ukawe kituko kabsa.
 
Inaa kwa usiku mmoja umeudhuria shoo mbili mikoa miwili tofauti?? [emoji15] [emoji15]

Umehudhuria shoo ya jangwani and at the same time umehudhuria babati??

Kama sivyo kinachokufanya uwe mwepesi kuamini na kusifia na kugalagala ukiona picha za babati ni nini ilhali ukionyeshwa picha za jangwani huamini??

Daahh mko desperate aisee.. [emoji17]

# WCB # WinneraCycle
We mtu nmejikuta nakufurahia kwa jinsi ulivyo mjibu huyu bwege.ungekua karibu ungekuja moja moto moja baridi
 
Tukiongea ukweli
Diamond alijutahidi ila hakujaza uwanja ule kuanzia stand ya wale jamaa wa kamera palikuwa wazi hapakuwa na watu
Mbele watu walikuwepo wengi
Picha zilichukuliwa upande wa hao watu wengi na ndio ilivyo hata kama show ilikuwa na watu wachache ila bado Diamond alifanya vizuri
Ulihudhuria show hiyo au unaongozwa na hisia
 
Tukiongea ukweli
Diamond alijutahidi ila hakujaza uwanja ule kuanzia stand ya wale jamaa wa kamera palikuwa wazi hapakuwa na watu
Mbele watu walikuwepo wengi
Picha zilichukuliwa upande wa hao watu wengi na ndio ilivyo hata kama show ilikuwa na watu wachache ila bado Diamond alifanya vizuri
Ulikuwepo?
 
Mbona unahangaika sana kuu kulazimisha hakujaza tatizo nini?
 
Back
Top Bottom