Ukikimbia Nchale ukisimama Nchale!!!!!!Ukitaka kumtambua mzaramo popote duniani muangalie mdomo wa juu unakua umebinuka halaf unakuta unacheza cheza kila baada ya dakika kadhaa....hawa mi hawanipi shida kabisa wazaramo na wandengereko nawajua vizuri sana....
Niache kulala niende kwenye kulipa 30000 si bora huo mda ningeenda kulala na watoto wasiojiweza nikawafarij nakuwap zawad ya xmass kuliko kuharbu pesa kweny sin like thatHaya tuwekee wewe picha za jana usiku kwenye hiyo shoo,zikionyesha watu pamoja na jukwaa,ili tuone picha halisi ya hali ilivyokuwa,OLE WAKO USHINDWE KUFANYA HIVYO,NA UTATUAMBIA KWANINI UNAKOSOA BILA YA WEWE KUWEKA ZA KWAKO ULIZOZIPIGA.
alitaka Dar nzima waje,sijui wangekaa angani wakat ukumbi umejaakwa jiji la dar lenye watu zaidi ya milioni 5...hao ni wachache sana
Komenti no 331 nimekuwekea gari iliyopigwa moto,bado unauliza swali hilo hilo....??Kwa hiyo meneja aliwatia kamba angechoma gari ili misukule wake muende wengi kushuhudia?!
Basi hustahili kubishia cha wenzio wakati cha kwako unachodai ndicho sahihi huna.Niache kulala niende kwenye kulipa 30000 si bora huo mda ningeenda kulala na watoto wasiojiweza nikawafarij nakuwap zawad ya xmass kuliko kuharbu pesa kweny sin like that
Sina pic yyte so natolea maelezo ya upgwaj wa hzo pic
Kazi ya uphotographer? Ukiwa na maana kazi ya u'mpiga picha' sio? And yet unamwambia jamaa arudi shule. NINA MASHAKA NA VYETI MR. MPHOTOGRAPHER.acha taarabu ww mi nasema ukweli najua kazi ya uphotographer and also videographer so kaa kmya cjasema ka edit kitu ila ujajua namna upigaji wa picha ww rudi shule 4m 3 kasome
Arud ckul 4m 3 akajifunze kwanz aina za picha na namna zinavopigwa ndo aje hapa nyie watu hamkusoma Geography auKazi ya uphotographer? Ukiwa na maana kazi ya u'mpiga picha' sio? And yet unamwambia jamaa arudi shule. NINA MASHAKA NA VYETI MR. MPHOTOGRAPHER.
Kuna mmoja aliandika kuwa shati lake ni turubai tosha la Volkswagenhilo tisheti la lemutuz ukilichana kitambaa chake unaweza kushona suruali zangu 10.