Natamani kujua kinachoendelea Jangwani Sea Breeze

Natamani kujua kinachoendelea Jangwani Sea Breeze

Kwanini picha zimeunganishwa na sio moja moja? Cha kuchekesha zaidi picha zote zimepigwa eneo moja karibu na stage.
Ndio maana jana nilisema leteni picha za angle zote.

Hata hivyo kwa hali ya sasa mmejitahidi,sio mbaya sana.
Ha ha haha kibakuli amepiga show wap??? Kingilio Shingap
 
Kwa nini wabongo hatupendi mafanikio ya wenzetu?
Hatukufundishwa upendo ndio maana ni maskini
 
Kwa, kweli kuna watu ni wacawi ndani ya nafsi zao hawa, watuteam kibakuli nahisi wana moyo migumu mno
 
aah mdau unafika mbali sasa hahahahhah

Nifah is my girl, as in mpenzi wangu.. alafu ni vile tu labda wewe ni mgeni humu au humjui vizuri Nifah

sio kwamba anamchukia chibu but lazima tutunishiane misuli just like simba na yanga.. but hakuna kuchukiana or kuchukia wasanii..

thats why unaona mimi mwenyewe mdau mkubwa wa WCB na yeye mdau mkubwa wa Kiba but tuko madly in luv..
wewe ndio mdakuzi?
 
Wenzetu wanapiga pesa wengine kutafuta ni wapi wcb wamefeli...Alijaza uwanja hakujaza haina shida ili mradi kusudio lake la kutoa burudani na kuingiza pesa limefanikiwa hata km sio kwa kiwango alichokitarajia,ila kafanya kitu ambacho pengine wengi wetu hatutakuja kukifanya.
Baadhi ya watoto wa kiume mnatia Aibu,kutwa kuponda na kutafuta wenzetu wamefeli wapi ili tuongee,Haijengi kabisa...wale wa kiume haifai kufurahi Mwanaume mwenzako akifeli.
 
Mi sio mgeni jangwan sea breeze napajua vzuri watu elf mbili ni weng sana na kawaida ya show za wazi watu hua wengi mbele katikati panakua wazi wengne nyuma kabisa ukumbi ule hauwez kuhimili watu elf mbili
Tuambie unachukua watu wangapi ......???
 
acha taarabu ww mi nasema ukweli najua kazi ya uphotographer and also videographer so kaa kmya cjasema ka edit kitu ila ujajua namna upigaji wa picha ww rudi shule 4m 3 kasome
Haya tuwekee wewe picha za jana usiku kwenye hiyo shoo,zikionyesha watu pamoja na jukwaa,ili tuone picha halisi ya hali ilivyokuwa,OLE WAKO USHINDWE KUFANYA HIVYO,NA UTATUAMBIA KWANINI UNAKOSOA BILA YA WEWE KUWEKA ZA KWAKO ULIZOZIPIGA.
 
Haya tuwekee wewe picha za jana usiku kwenye hiyo shoo,zikionyesha watu pamoja na jukwaa,ili tuone picha halisi ya hali ilivyokuwa,OLE WAKO USHINDWE KUFANYA HIVYO,NA UTATUAMBIA KWANINI UNAKOSOA BILA YA WEWE KUWEKA ZA KWAKO ULIZOZIPIGA.
[emoji3][emoji3]ole wake..aya maneno nayasikia kwenye kitabu kitakatifu..sasa hapa sijui yametumikaje..
 
Hao wanatapata kwanza Dimond hakuwa peke yake.

Mavoko,Raymond na Harmonize ambao mwaka huu wote walikimbiza kwa Hit songs ila bado show imebuma.
Kwani unajua shoo walikusudia wawe watu wangapi na wamewapata wangapi ........ Kiasi kwamba unasema imebuma.
 
Back
Top Bottom