Natamani kujua kinachoendelea Jangwani Sea Breeze

[emoji3][emoji3]ole wake..aya maneno nayasikia kwenye kitabu kitakatifu..sasa hapa sijui yametumikaje..
Asipoziweka hizo picha zake alizozipiga yeye kwenye hiyo shoo ya jana ndio utaona matumizi ya hilo neno "ole wake" litakavyofanyakazi kwake,nampa masaa 24 x24.
 
Kwani unajua shoo walikusudia wawe watu wangapi na wamewapata wangapi ........ Kiasi kwamba unasema imebuma.
Vipi ile mlichoma ile gari aliyosema meneja ili mvute attention ya watu kimataifa?!
 
Yaani wewe ni mzaramo kweli,maana upo kinafki nafki tu,kumbe hata kwenye shoo hukwenda ila unasema imebuma,maana ungeenda hata ili swali usingeuliza. Acha wifu kitoto cha kiume.
 
Mbona mapovu tena.

Huu mchezo hauitaji hasira.

Mlichoma lile gari moto au hamkuchoma?!
 
Ukitaka kumtambua mzaramo popote duniani muangalie mdomo wa juu unakua umebinuka halaf unakuta unacheza cheza kila baada ya dakika kadhaa....hawa mi hawanipi shida kabisa wazaramo na wandengereko nawajua vizuri sana....
 
Mlisema mngechoma moto gari mpya kabisa Vipi mlifanikiwa?!
Hivi na wewe unaishi Buguruni au Vingunguti ........ Maana ndio mitaa ya wazaramo,wakitokea uzaramuni Samvula chore,Masaki.
 
Mbona mapovu tena.

Huu mchezo hauitaji hasira.

Mlichoma lile gari moto au hamkuchoma?!
Umeona hiyo,ungepewa wewe ungeona umetoka kimaisha.
766791-bigthumbnail.jpg
 
Hahahahah!! Love is a beautiful thing..
Maana mmefikia kubadilishana Avatar,basi iliwachukua mazungumzo ya muda mrefu sana kufikia muafaka.Na nina amini mmeshawahi kuonana au kuwasiliana kwa simu. Hongera mkuu,ila kuwa makini,maana mtu mwenye chuki za kuandika siku anaweza akafanya vilevile akihisi bado yupo JF anamponda MOND kumbe yupo na mtu live.
 
Thanks man! Noted, ntazingatia..
 
H
Tukiachana na watu kujaa tunaomba taarifa ya msingi burudani ikoje na hao vijana wa WCB washapanda,kama ishu ni watu leo kote kumejaa hata disco vumbi uku hakuna sehemu ya kusogeza mguu.
Huko disco vumbi huwa wanalipa 30,000 pia?
 
Hivi na wewe unaishi Buguruni au Vingunguti ........ Maana ndio mitaa ya wazaramo,wakitokea uzaramuni Samvula chore,Masaki.
Kwa hiyo meneja aliwatia kamba angechoma gari ili misukule wake muende wengi kushuhudia?!
 
Back
Top Bottom