samsun
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 7,386
- 5,965
Asipoziweka hizo picha zake alizozipiga yeye kwenye hiyo shoo ya jana ndio utaona matumizi ya hilo neno "ole wake" litakavyofanyakazi kwake,nampa masaa 24 x24.[emoji3][emoji3]ole wake..aya maneno nayasikia kwenye kitabu kitakatifu..sasa hapa sijui yametumikaje..