Natamani kujua kinachoendelea Jangwani Sea Breeze

Kwanini picha zimeunganishwa na sio moja moja? Cha kuchekesha zaidi picha zote zimepigwa eneo moja karibu na stage.
Ndio maana jana nilisema leteni picha za angle zote.

Hata hivyo kwa hali ya sasa mmejitahidi,sio mbaya sana.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Siku hizi kuunganisha picha imekuwa dhambi [emoji23]

Hivi kabisa mnadhani tungeandaa show bila kuwa na uhakika kuwa itatulipa??

Sisi wafanyabiashara, hatujaandaa show Ili kujifurahisha..

Kwahiyo lemutuz amedanganya?? Millard ayo amedanganya?? Hebu tupeni nyinyi picha za kweli..
 
Hivi mnajua kazi za maphotographer nyinyi waambie wapige picha nyuma ya watu muone hapo camera haijawekewaa zoom so akipga kwa mbele watu kumi unawaona ka ishirini
 
Acha wanafiki waendelee kupayuka huku wasafi mifuko ikituna.
 
Hivi mnajua kazi za maphotographer nyinyi waambie wapige picha nyuma ya watu muone hapo camera haijawekewaa zoom so akipga kwa mbele watu kumi unawaona ka ishirini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hawa watu wanatuona mambugila sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…