Hypersonic
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 996
- 1,913
Hayo ni mawazo yako si ya kwangu. Mimi hoja yangu kodi tu. ukiona uelewi ujuwe (If you don’t get it, then it’s probably not meant for you)Mi nilichoona hapa ni Tangazo ila kuhusu Kodi Ngoja waje wengine.
Ujue hayo yote alafu ushindwe kuangakia Kodi?
Watanzania wengi wanajifanya wajuaji harafu mbele wanakwama mkuu kama haipo kwenye calculator yao wasiliana na agent harafu yeye ndio atakupa mrejesho kama upo daslm nenda ofisi yao Posta huko utapata majibu yote..Hayo ni mawazo yako si ya kwangu. Mimi hoja yangu kodi tu. ukiona uelewi ujuwe (If you don’t get it, then it’s probably not meant for you)
Kasema kwenye calcu. Haipo mkuuMi nilichoona hapa ni Tangazo ila kuhusu Kodi Ngoja waje wengine.
Ujue hayo yote alafu ushindwe kuangalia Kodi?
Gari nyingi kwenye calculator hakuna wapo watu wanadhani TRA wameweka gari zote kumbe zingine wanafanya kulinganisha tu na ile kama ina vitu vinavyofanana wanakupa kodi wao hawana muda tena wa kuongeza magari mapya kwenye calculator yao unaingiza gari kutoka SA unatumia calculator inayoonyesha gari imetoka Japan wanakukadilia ila kwenye kadi itasoma imetoka SA.Kasema kwenye calcu. Haipo mkuu
Naam, wao wenyewe wanasema kama gari haipo unawasiliana nao.Gari nyingi kwenye calculator hakuna wapo watu wanadhani TRA wameweka gari zote kumbe zingine wanafanya kulinganisha tu na ile kama ina vitu vinavyofanana wanakupa kodi wao hawana muda tena wa kuongeza magari mapya kwenye calculator yao unaingiza gari kutoka SA unatumia calculator inayoonyesha gari imetoka Japan wanakukadilia ila kwenye kadi itasoma imetoka SA.
Ni bora ikawepo kwenye mfumo wao kama hakuna wanakadiria juu zaidi utaomba wapunguze mpaka utachoka...Naam, wao wenyewe wanasema kama gari haipo unawasiliana nao.
Hivi yale malalamiko ya kama gari haipo kwenye calculator wanakadiria kiuonevu yapo vipi? Ni kweli au uvumi tu
Sawa mkuuNi bora ikawepo kwenye mfumo wao kama hakuna wanakadiria juu zaidi utaomba wapunguze mpaka utachoka...
Wadau, kama kuna mtu anaweza kuwa na uwelewa kodi ya Used YUTONG ZK6110 12 meters viti 55 kutoka China ambayo bei yake ni USD 21,000 na kubadilisha steering kutoka kushoto kwenda kulia, battery mpya, marekebisho ya ndani chini (floor), dashboard mpya, mlango mpya, cover za viti, kwa jumla ya USD 27,600.
Usafiri mpaka bandari ya Tanga USD 6,6000.
Natamani kujua kodi ya TRA maana kwenye calculator yao haipo.
Nimejaza fomu ya kutumiwa makadirio ya kodi ya hiyo gari lakini bado sijapata.
Jmn kina watu mnajua ya ndani hii ni kweli mm nimeingiza chuma mwez iliopita from soud afrika kadi nimepewa haijawahipo kumilikiwa na inatoka jepu sahihi kabisaaGari nyingi kwenye calculator hakuna wapo watu wanadhani TRA wameweka gari zote kumbe zingine wanafanya kulinganisha tu na ile kama ina vitu vinavyofanana wanakupa kodi wao hawana muda tena wa kuongeza magari mapya kwenye calculator yao unaingiza gari kutoka SA unatumia calculator inayoonyesha gari imetoka Japan wanakukadilia ila kwenye kadi itasoma imetoka SA.
Mimi changamoto zao nimewaachia wao wenyewe TRA wanafanya vitu kama vile sio fani yao..Jmn kina watu mnajua ya ndani hii ni kweli mm nimeingiza chuma mwez iliopita from soud afrika kadi nimepewa haijawahipo kumilikiwa na inatoka jepu sahihi kabisaa
Asante, Steeling wanabadili wao wenyewe huko huko chinaWatanzania wengi wanajifanya wajuaji harafu mbele wanakwama mkuu kama haipo kwenye calculator yao wasiliana na agent harafu yeye ndio atakupa mrejesho kama upo daslm nenda ofisi yao Posta huko utapata majibu yote..
Kuhusu kubadili sterling ni huko tabata ndio wana mambo hayo hakuna kitu utashindwa ili mradi gari iwepo tu kwa Watanzania.
Tatizo ujuaji mwingi, kumuita mtu kilzaza nyuma ya Keyboard ni kitendo cha nukta moja lakin uhalisia unaweza kuwa tofauti. Nilichokiweka hapo hakuna hata stori moja ya kijiweni wewe kama unajua makadirio ya hiyo gari wewe niwekee basi, make nimetumia njia zote, nimepiga simu TRA, nikawatumia details za gari lakini sijajibiwa. Sitaki kumtumia wakala kuingiza gari nitafanya mwenyewe. Ila sijachoka naamini nitapata pamoja na ukilaza wangu. Wewe na umuch know wako endelea kupiga stori za kufurahisha kijiwe, usisahau mwenye nyumba anataka kodi yake ni hayo. Lakini pia usishangae ukaja kuomba kazi kwangu.Kilaza unasikia habari kijiweni unaleta huku.
Tatizo ujuaji mwingi, kumuita mtu kilzaza nyuma ya Keyboard ni kitendo cha nukta moja lakin uhalisia unaweza kuwa tofauti. Nilichokiweka hapo hakuna hata stori moja ya kijiweni wewe kama unajua makadirio ya hiyo gari wewe niwekee basi, make nimetumia njia zote, nimepiga simu TRA, nikawatumia details za gari lakini sijajibiwa. Sitaki kumtumia wakala kuingiza gari nitafanya mwenyewe. Ila sijachoka naamini nitapata pamoja na ukilaza wangu. Wewe na umuch know wako endelea kupiga stori za kufurahisha kijiwe, usisahau mwenye nyumba anataka kodi yake ni hayo. Lakini pia usishangae ukaja kuomba kazi kwangu.
MBONA KAMA SENGE FLANI HEBU SOMA NILICHOANDIKA HAPO. RUDIA KUSOMA KUHUSU POST YANGU NIMEONGEA NINI KUHUSU TRA? DUNIA HII YA LEO BADO UNAAMINI KUPATA TAARIFA LAZIMA UFIKE CHINI YA PAA LA OFISI? HUO USMART WAKO KUNA LEVEL ZAKO SIYO MIMI NIKO EXTRA MILIES KWAKO. AU BWABWA NINI MANAKE WANUME WAMENIELEWA WEWE NENDA KWANZA KWENYE VIKOBAWaulize TRA. kazi nitakayokuja kuomba kwako ni kukusimamia uwe smart. Hiyo tu.
MBONA KAMA SENGE FLANI HEBU SOMA NILICHOANDIKA HAPO. RUDIA KUSOMA KUHUSU POST YANGU NIMEONGEA NINI KUHUSU TRA? DUNIA HII YA LEO BADO UNAAMINI KUPATA TAARIFA LAZIMA UFIKE CHINI YA PAA LA OFISI? HUO USMART WAKO KUNA LEVEL ZAKO SIYO MIMI NIKO EXTRA MILIES KWAKO. AU BWABWA NINI MANAKE WANUME WAMENIELEWA WEWE NENDA KWANZA KWENYE VIKOBA