amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,132
- 31,149
Sasa huoni kuwa ni mtu mwema maana alijua anafanya mbaya a kaacha na kutubu na kumrudia Muumba wake.
Mpaka hapa kaka kubali tu ni mtu mwema sana.
Mpaka hapa kaka kubali tu ni mtu mwema sana.
Lkn sio kuweka legacy kwa kufanya Biashara haramu na kuumiza mamia ya vijana
Ana bahati alishtuka mapema akaacha
Kwani wengi huwa hawaachi