Mbona mnaficha biashara yake ile iliyompa utajiri?
Wabongo kwa unafiki
Kama unaijua tuambie kaka,mimi mmoja wapo nataka nimjue.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mnaficha biashara yake ile iliyompa utajiri?
Wabongo kwa unafiki
Sawa marehemu hasemwi vibaya
Ila amini biashara yake iliyomtoa sio hiyo
Huyo alikuwa monster haswa nyuma ya pazia
Usidanganywe na kanzu
Pale magomeni kanisani alinusuruka...
Mimi ilinibidi nicoment Baada ya wadau kusema alitajirika kupitia duka lake lile la vipodozi!
Hadi nikashituka
Mkuu nimeandika kidogo tu ninayoyafahamu
Wadau wake wamenishambulia kama mpira wa kona
Wewe ni mtu mzima Mkuu jiongeze
Kumsema vibaya humu kutawafanya wanaosali kwenye msikiti aliojenga wajisikie vibaya
Acha yapite
Kazi ipo hapa.Kwani wewe ukipanga kwake Ndio utajua Maisha yake?
By the way nimechangia ninachojua na wewe umechangia unachojua na huna mamlaka ya kutaka kuandika nikufurahishe kwa kuwa unafahamiana naye hio NO
Who are you?
Unamdefend kwa sababu ati ulikuwa mpangaji wake !
Maaajabu haya
Nawe unakurupuka tu kwani lazima uchangie ukiambiwa ukweli unapinga twambie unachotaka Jinga moja wewe Zingizi alikuwa muuza unga Ila alitubuKama unaijua tuambie kaka,mimi mmoja wapo nataka nimjue.
Mkuu ukiniita mimi mnafki nitapungukiwa nini?
Kama alikuwa zee la unga nisiseme?
Kuwapa msaada nyie haimanishi tusiseme tabia zake
Una maana gani mkuu? Fafanua tafadhari
Hii ndiyo shida ya watanzania.
Wanapenda kuyasemea mafanikio ya wenzao na kuyanasbihisha na uovu.
Fanyeni kazi na acheni khusda.Unamsemaje maiti kwa jambo ambalo hawezi kulijibu.
Na kama kweli mnamjua kwa nini hamkumkabili kabla ya umauti wake au jamii forum imeanza leo???
Tuache unafiki
Tatizo lako huweki ushahidi,ndio maana tunakuona muongo. Jaribu kumuelezea kama wenzako wanavyomuelezea,maana wapo wanaosema wamdiriki,wewe hata ka umesikia,kuna namna ya kuelezea masimulizi kwa kusikia,na masharti ya usimulizi wa kusikia yanajulikana,kama huyajui masharti hayo nitakukumbusha,lengo na sisi tusio mjua tupate kumjua kwa uzuri.
Zee la unga unataka nimueleze kivipi?
Nijaribu kumueleza km wenzangu?
Muuza madawa ya kulevya utamuelezeaje?
Zee la unga unataka nimueleze kivipi?
Nijaribu kumueleza km wenzangu?
Muuza madawa ya kulevya utamuelezeaje?
Zee la unga unataka nimueleze kivipi?
Nijaribu kumueleza km wenzangu?
Muuza madawa ya kulevya utamuelezeaje?
Acha ushamba huo..Mbona mnaficha biashara yake ile iliyompa utajiri?
Wabongo kwa unafiki
Tupeni ramanj wadogo zenu tUjilipue... Roho ngumu zipo hatuna conection tu za misheLazima ujue kuhustle lakini naona kizazi cha vijana wa siku hizi Tanzania hawapendi hata kuvuka border, SH Amon, huyo mbunge ni Airo mtaje tu watu wamevusha magendo ya mrungi sana na cement ya kenya enzi hiyo viwanda bongo hakuna acha tu watu wanatoka mbali na hustle za roho mbaya watu wamecheza sana
Tupeni ramanj wadogo zenu tUjilipue... Roho ngumu zipo hatuna conection tu za mishe
zama hizi mzee baba magendo gani tupige ? Generation yetu imekaa kiboya sana kila kitu kinaonekana poa tuKila kitu kina zama zake
Acha kabisa wala usifikirie mzeezama hizi mzee baba magendo gani tupige ? Generation yetu imekaa kiboya sana kila kitu kinaonekana poa tu