Natamani kujua maisha ya marehemu Al Habib Alhaji Aziz Massanga (Zingizi)

Natamani kujua maisha ya marehemu Al Habib Alhaji Aziz Massanga (Zingizi)

Sawa marehemu hasemwi vibaya

Ila amini biashara yake iliyomtoa sio hiyo

Huyo alikuwa monster haswa nyuma ya pazia

Usidanganywe na kanzu

Pale magomeni kanisani alinusuruka...

Kaka inaonekana unamjua sana,tupe vitu usisahau na kutuwekea ushahidi.
 
Mimi ilinibidi nicoment Baada ya wadau kusema alitajirika kupitia duka lake lile la vipodozi!

Hadi nikashituka

Tatizo hutuambii alitajirika kwa njia gani. Kwa mwendo huu wewe ndio muongo na utakuja kuulizwa.
 
Mkuu nimeandika kidogo tu ninayoyafahamu
Wadau wake wamenishambulia kama mpira wa kona

Wewe ni mtu mzima Mkuu jiongeze

Kumsema vibaya humu kutawafanya wanaosali kwenye msikiti aliojenga wajisikie vibaya

Acha yapite

Kaka una uhakika alikuwa anafanya biashara ya madawa ya kulevya ? Unashambuliwa sababu hujanyooka unaficha ficha,yaani unaishi katika ile kanuni ya watu wa mantiki "Kama A ni sawa C na B ni sawa na A basi C ni sawa na B". Kwa mwendo huu hatufiki.

Kwa kuzingatia utu uzima wetu na kuchukua habari za uhakika,unapaswa kutupa majibu yenye kutosheleza. Shaka zaidi inakuwa kwako kwa kuacha kuelezea jambo kama lilvyo.
 
Kwani wewe ukipanga kwake Ndio utajua Maisha yake?

By the way nimechangia ninachojua na wewe umechangia unachojua na huna mamlaka ya kutaka kuandika nikufurahishe kwa kuwa unafahamiana naye hio NO

Who are you?

Unamdefend kwa sababu ati ulikuwa mpangaji wake !

Maaajabu haya
Kazi ipo hapa.
 
Kama unaijua tuambie kaka,mimi mmoja wapo nataka nimjue.
Nawe unakurupuka tu kwani lazima uchangie ukiambiwa ukweli unapinga twambie unachotaka Jinga moja wewe Zingizi alikuwa muuza unga Ila alitubu
 
Mkuu ukiniita mimi mnafki nitapungukiwa nini?
Kama alikuwa zee la unga nisiseme?

Kuwapa msaada nyie haimanishi tusiseme tabia zake

Tatizo lako huweki ushahidi,ndio maana tunakuona muongo. Jaribu kumuelezea kama wenzako wanavyomuelezea,maana wapo wanaosema wamdiriki,wewe hata ka umesikia,kuna namna ya kuelezea masimulizi kwa kusikia,na masharti ya usimulizi wa kusikia yanajulikana,kama huyajui masharti hayo nitakukumbusha,lengo na sisi tusio mjua tupate kumjua kwa uzuri.
 
Hii ndiyo shida ya watanzania.
Wanapenda kuyasemea mafanikio ya wenzao na kuyanasbihisha na uovu.
Fanyeni kazi na acheni khusda.Unamsemaje maiti kwa jambo ambalo hawezi kulijibu.
Na kama kweli mnamjua kwa nini hamkumkabili kabla ya umauti wake au jamii forum imeanza leo???
Tuache unafiki
 
Wote mnakubali kuwa alifanya na akaacha.Na wote mnakubali kuwa alijitahidi kuyatenda yaliyo mema ktk muda wake kabla ya umauti.Hivi unajisikiaje kumsimanga ambaye tayari yupo ktk uwanja wa hesabu mbele ya mola wake
Hivi wewe unayeshikilia uuzaji unga wa Zingizi una matendo mangapi maovu unayoyatenda hata leo na wala hujakumbuka kuyaacha.
Tumuogope Mola wetu.Jukumu la wanaobaki ni kumuombea msamaha na si kuwaumiza jamii yake.
 
Hii ndiyo shida ya watanzania.
Wanapenda kuyasemea mafanikio ya wenzao na kuyanasbihisha na uovu.
Fanyeni kazi na acheni khusda.Unamsemaje maiti kwa jambo ambalo hawezi kulijibu.
Na kama kweli mnamjua kwa nini hamkumkabili kabla ya umauti wake au jamii forum imeanza leo???
Tuache unafiki

Hapo sasa Mbona hata kwenye list ya Unga hakutajwaa?! Vibopa wote wa unga wamekamatwa na wengine wamekimbia nchini yeye Kila siku Alikua Kariakoo au SA, Dubai why serikali isimkamate .. hata kama bs alifanya bs ni miaka hiyo na sio biashara ilompa pesa
Pesa kapata kwenye vipodozi
 
Zee la unga unataka nimueleze kivipi?

Nijaribu kumueleza km wenzangu?

Muuza madawa ya kulevya utamuelezeaje?
Tatizo lako huweki ushahidi,ndio maana tunakuona muongo. Jaribu kumuelezea kama wenzako wanavyomuelezea,maana wapo wanaosema wamdiriki,wewe hata ka umesikia,kuna namna ya kuelezea masimulizi kwa kusikia,na masharti ya usimulizi wa kusikia yanajulikana,kama huyajui masharti hayo nitakukumbusha,lengo na sisi tusio mjua tupate kumjua kwa uzuri.
 
Zee la unga unataka nimueleze kivipi?

Nijaribu kumueleza km wenzangu?

Muuza madawa ya kulevya utamuelezeaje?

Wewe unalako jambo tu so unataka kusema mpaaka anakufa alikua akifanya hiyo kazi au?! Anafanya vipodozi sasa over 20 years so hizo unga uanzosema hiyo miaka chini ya hapo hakupata pesa kwenye unga acha uwongo yeye ni supplier mkubwa sana alikua wa vipodozi tena kwa jumla si Tanzania tu mpaka nchi jirani hiyo identity unayotaka kumpa unapoteza muda tu kusanya hata watu 100 wewe peke yako ndoto utasema hivyo nenda Kariakoo ukaulize anajulikana na nini
 
Zee la unga unataka nimueleze kivipi?

Nijaribu kumueleza km wenzangu?

Muuza madawa ya kulevya utamuelezeaje?

Huwezi kufuta mema yake yaliyo mengi kaka sijui dada unapoteza muda tu ukiona mtu anazungumzwa kwa wema mwingine kuliko ubaya huyo ni mtu Mzuri .. hata kama ana mabaya yake yanazidi wema wake
 
Zee la unga unataka nimueleze kivipi?

Nijaribu kumueleza km wenzangu?

Muuza madawa ya kulevya utamuelezeaje?

Wenzako wamethibitisja na kusadikisha wewe unalalika. Huoni tofauti yako na wao ?

Ukiwa na ushahidi unistue nije kusoma. Kuna bro alitoa maelezo mazuri sana humu,kama hukumuelewa sidhani kama utaelewa tena.
 
Lazima ujue kuhustle lakini naona kizazi cha vijana wa siku hizi Tanzania hawapendi hata kuvuka border, SH Amon, huyo mbunge ni Airo mtaje tu watu wamevusha magendo ya mrungi sana na cement ya kenya enzi hiyo viwanda bongo hakuna acha tu watu wanatoka mbali na hustle za roho mbaya watu wamecheza sana
Tupeni ramanj wadogo zenu tUjilipue... Roho ngumu zipo hatuna conection tu za mishe
 
Back
Top Bottom