Natamani kujua maisha ya marehemu Al Habib Alhaji Aziz Massanga (Zingizi)

We ndo unamjua Sasa na mie niliambiwa hvyo hvyo
 
Mimi sio mtata Mkuu wala sina chuki yeyote

Ila ukweli usemwe, huyo ni binadamu wa kawaida km sisi

Sasa mnapoficha yale mabaya yake mnakusudia nini?

Hata kama unaswalia msikiti wake, jua tu mwamba alikuwa monster

Na wala sio vipodozi
Ndugu, marehemu alikuwa muislamu, muislamu anapofariki huwa yanatajwa mazuri yake, mabaya yake anasitiriwa.

Mtume (SAW) anasema "Kila mwanadamu ni mkosefu na mbora kati ya wakosefu ni yule mwenye kutubia"

Na Allah ktk Quran anasema,"Hakika Allah anasamehe madhambi yote.."

Hivyo basi marehemu kwa dhambi yyt aliyoifanya kama alitubia basi alisamehewa.
 
Kama ni kweli alifanya biashara hiyo na akaacha kisha akafanya toba kwa Mola wake, akawa mtu mwema kwa kuwasaidia watu, basi huyu ni mfano wa kuigwa kwani amekuwa na mwisho mwema, wangapi wamedumu kwenye madhambi hadi mauti yamewakuta?

Tuombe mwisho mwema kwani wapo waliodumu ktk mema lakini mwisho wakatumbukia ktk maasi na mauti kuwakuta, na wapo waliodumu ktk maasi mwisho wakatubu na kuachana na maasi hayo na kuwa waja wema na hatimaye kifo kimewakuta wakiwa waja wema.
Lkn sio kuweka legacy kwa kufanya Biashara haramu na kuumiza mamia ya vijana

Ana bahati alishtuka mapema akaacha
Kwani wengi huwa hawaachi
 
Huu uzi wa vijana wa uwanja wa Magunia na Driving cinema
 
Hawezi elewa huyu mnaafiki na mwenye hasadi
 
Mafanikio yana siri kubwa waarabu waliwekeza kwenye mapori na wakachomoka, wabongo waliwekeza kwenye vipodozi wakachomoka, Masanja yeye analima mpunga, kila mtu muziki wa maisha ataucheza kwa style yake
 
Wewe kama mimi tu,nilipita mitandaoni nikawa naona anazungumziwa sana,yaani katika maziko yake.

Ngoja nisome uzi wote.
 
Mkuu ukiniita mimi mnafki nitapungukiwa nini?
Kama alikuwa zee la unga nisiseme?

Kuwapa msaada nyie haimanishi tusiseme tabia zake
Usitafute matatizo kama matatizo hayajakutafuta!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…