comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,950
Mkuu kwakuwa communism ilikuwa mpinga dini, ujumbe uliletwa kwa watoto wa Fatima (Lucia, Francisco na Jasinta) kuwa dola ya Russia itatawanyika na watu wataanza kumuabudu Mungu tena. Hii ilikuwa May 1917.
Mkuu kwakuwa communism ilikuwa mpinga dini, ujumbe uliletwa kwa watoto wa Fatima (Lucia, Francisco na Jasinta) kuwa dola ya Russia itatawanyika na watu wataanza kumuabudu Mungu tena. Hii ilikuwa May 1917.
This article is about the revolutions of 1917. For the revolution of 1905, see 1905 Russian Revolution.The Russian Revolution was a pair of revolutions in Russia in 1917, which dismantled the Tsarist autocracy and led to the eventual rise of the Soviet Union. The Russian Empire collapsed with the abdication of Emperor Nicholas II, and the old regime was replaced by a provisional government during the first revolution of February 1917 (March in the Gregorian calendar; the older Julian calendar was in use in Russia at the time). In the second revolution that October, the Provisional Government was removed and replaced with a communist state.Mwaka huo 1917 USSR ilikuwa tayari imeshaundwa?
This article is about the revolutions of 1917. For the revolution of 1905, see 1905 Russian Revolution.The Russian Revolution was a pair of revolutions in Russia in 1917, which dismantled the Tsarist autocracy and led to the eventual rise of the Soviet Union. The Russian Empire collapsed with the abdication of Emperor Nicholas II, and the old regime was replaced by a provisional government during the first revolution of February 1917 (March in the Gregorian calendar; the older Julian calendar was in use in Russia at the time). In the second revolution that October, the Provisional Government was removed and replaced with a communist state.
The February Revolution (March 1917) was a revolution focused around Petrograd (now Saint Petersburg), then capital of Russia. In the chaos, members of the Imperial parliament or Duma assumed control of the country, forming the Russian Provisional Government. The army leadership felt they did not have the means to suppress the revolution, resulting in Nicholas' abdication. The Soviets (workers' councils), which were led by more radical socialist factions, initially permitted the Provisional Government to rule, but insisted on a prerogative to influence the government and control various militias. The February Revolution took place in the context of heavy military setbacks during the First World War (1914–18), which left much of the Russian Army in a state of mutiny.
Fatima ni mji uliopo Ureno, mwaka 1917 watoto wadogo walitokewa na mwanamke mrembo sana, katika matokeo hayo watoto wale walipata ujumbe kuwa Mungu anakasirishwa sana na matendo ya wanadamu, na kutokana na matendo hayo Urusi imeanguka katika dola ya mpinga dini. Lakini kutokana na sala mambo yanaweza kubadilika.Fatima alikuwa nani?alitokea wapi?
Fatima ni mji uliopor Ureno, mwaka 1917 watoto wadogo walitokewa na mwanamke mrembo sana, katika matokeo hayo watoto wale walipata ujumbe kuwa Mungu anakasirishwa sana na matendo ya wanadamu, na kutokana na matendo hayo Urusi imeanguka katika dola ya mpinga dini. Lakini kutokana na sala mambo yanaweza kubadilika.
Mmoja wa watoto hao, Lucia alipewa barua ambayo ndani yake ilielezea matokeo yatakayo tokea duniani miaka ijayo, moja lilikuwa kupigwa risasi kwa kiongozi mkuu wa dini, pili ilikuwa dola ya Urusi kumrudia Mungu.
Pope John Paul II, 1979.kiongozi gani alipigwa risasi?
Halafu wakianza kujisifu kuwa wamesoma utashangaa.Mh! Kuna uongo humu! Dah!
Nakubaliana na wwe mkuu TBKanisa katoliki liko na influence kila sehemu
ndo maana Marekai walikuwa wanalipiga sana vita
Kennedy ndie Rais wa kwanza Marekani mkatoliki..
na hata kwenye kampeni zake aliwabembeleza sana wamarekani wamuamini
Hofu ya wamarekani wengi ni Rais mkatoliki kumsikiliza sana Pope na hatari zake
Kihistoria nchi zenye wakatoliki wengi zikipata Rais anesikiliza sna Vatican basi hata uhuru
wa wananchi huwa mashakani....
Kanisa katoliki lina historia chafu sana ya kulinda madikteta wakatoliki dunia nzima
na kutumiwa kwenye siasa za nchi fulani fulani mfano halisi Pope John Paul II
alivyotumika na Marekani huko Poland.....
Usijidanganye, litaongoza tena dunia na kutawala vizuri kabisa. Ni suala la muda tu....Nakubaliana na wwe mkuu TB
Labda ndio sababu Wamerikani hawajawah kumchagua Rais mkatoliki ukiacha JF Kenedy alieuwawa na Joh Biden ndie makamu wa rais wa kwanza wa USA mkatoliki,
Pamoja na maelezo yote hayo kanisa hailwezi kuongoza dunia kama ilivyokuwa zamani..sasa ivi dunia imebadilika sana na kanisa limepoteza ushawish kwa jamii kubwa sana ulimwenguni, kwa sasa kuna 11 families which runs the world, hawa wanainfuence kubwa kwenye energy, Food, and Medicine......
Umafia wa kanisa Catholic umezidi kudhibitiwa vilivyo na haya mambo.
Mkuu kama unachukua mawazo yangu kweli nimedanganya,Usijidanganye, litaongoza tena dunia na kutawala vizuri kabisa. Ni suala la muda tu....
Mkuu ngoja nikueleweshe kidogo mosi suala la moshi kwanza moshi ule mweupe ni ishara Kuwa Papa kapatikana katika kile kipindi wanapofanya uchaguzi Najua Unajua kuna baadhi ya vitu vikichomwa moto hutoa moshi wenye rangi Fulani aidha mweusi ambao ni komoni au rangi yoyote ile ule ni utaratibu ambao Kanisa wamejiwekea kuwa moshi ule mweupe ni ishara kuwa humo ndani mambo ni mazuri na Kiongozi kapatikana pia kanisa lina mfumo na taratibu zake kufikia cheo cha juu hasa kadrinali kwa padri kwahiyo Kuwa wachache au wengi haiathiri wala haipunguzi chochote katika kanisa!!Ukitaka kujua mambo ya hizi dini iwe Uislamu au Ukristo basi usiwe muumini wao kuna vingi utajifunza kwa uhuru mkubwa bila kuegemea popote
Hivi ushawahi kujiuliza wakati wa uchaguzi wa Papa ule moshi mweupe unaotoka kwamba amekubalika unatokana na nini ? Hivi kwanini wanao ruhusiwa kumchagua papa ni Makadrinali tu ?
Kama primary goal ni kumtumikia Mungu kwanini hawa Makadrinali wapo wachache sana duniani ? Nadhani hawafiki 300 Afrika ikiwa sijui na watatu
Hivi ni vigezo gani hasa vinatakiwa kuwa Kadrinali ? Unafikiria kwanini viliwekwa hivyo vigezo ili kila padri asifanikiwe kuwa Kadrinali ?
Haya makanisa ya dunia yana muingiliano mkubwa sana na serikali zetu za kidunia kuliko hata lengo lao la awali la kuwaleta wanadamu karibu na Mungu
Vivyo hivyo kwa dini zingine