Nakubaliana na wwe mkuu TB
Labda ndio sababu Wamerikani hawajawah kumchagua Rais mkatoliki ukiacha JF Kenedy alieuwawa na Joh Biden ndie makamu wa rais wa kwanza wa USA mkatoliki,
Pamoja na maelezo yote hayo kanisa hailwezi kuongoza dunia kama ilivyokuwa zamani..sasa ivi dunia imebadilika sana na kanisa limepoteza ushawish kwa jamii kubwa sana ulimwenguni, kwa sasa kuna 11 families which runs the world, hawa wanainfuence kubwa kwenye energy, Food, and Medicine......
Umafia wa kanisa Catholic umezidi kudhibitiwa vilivyo na haya mambo.