marc06
Member
- Nov 5, 2016
- 49
- 40
Mkuu..! Naomba kujua rais Kennedy aliongoza kwa mda gan? Je kifo chake kilitokana na uchachu wa siasa?Kanisa katoliki liko na influence kila sehemu
ndo maana Marekai walikuwa wanalipiga sana vita
Kennedy ndie Rais wa kwanza Marekani mkatoliki..
na hata kwenye kampeni zake aliwabembeleza sana wamarekani wamuamini
Hofu ya wamarekani wengi ni Rais mkatoliki kumsikiliza sana Pope na hatari zake
Kihistoria nchi zenye wakatoliki wengi zikipata Rais anesikiliza sna Vatican basi hata uhuru
wa wananchi huwa mashakani....
Kanisa katoliki lina historia chafu sana ya kulinda madikteta wakatoliki dunia nzima
na kutumiwa kwenye siasa za nchi fulani fulani mfano halisi Pope John Paul II
alivyotumika na Marekani huko Poland.....
Asante...!