The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Historia gani hiyo?, nimesoma na sijaona sehemu Kanisa Katoliki lilipotawala Dunia,
Naomba link kaka nikaisome
Kanisa katoliki walitawala dunia zamani hata Marekani haijavum buliwa
walikuwa wanatawala Ulaya na dumia kwa ujumla
kama umewahi sikia Roman Empire ...
Sasa waingereza walipoanza kupata nguvu wakajitenga ndo wakaanzisha kanisa lao
'Anglican Church....Anglo ndo English....
Wajerumani wakahamia Lutheran....nao ili wawe huru na Rome ambayo iko Italy na ndo Vatican
Wafaransa wakafanya mapinduzi ndo ikawa nchi ya kwanza kuwa na Rais...
ingawa wakabaki wakatoliki...
Waingereza waliokuwa wanampinga Mfalme wakapenda sana wazo la kuwa
Republic na kuwa na na Rais kama ufaransa
wakahamia USA.. USA zamani iliitwa 'New England'
historia iko ndefu na ina mengi....