Natamani kujua ushawishi wa kanisa katoliki katika utawala na usalama wa dunia

duh what do yu think the fate will be
NWO ni kuomba uzima haya mambo yaje yatokee katika enzi zetu. Hii ni mipango iliyopangwa kwa ustadi uliotukuka zaidi ya miaka 200 iliyopita. Yetu Macho kikubwa pamoja na hayo Mungu yupo na aliyasema haya kitambo kwa mafumbo.
 
Nenda utube angalia documentary moja inaitwa the vatican and america ndio utajua hakuma marekan wala vatican
 
Ukitaka kujua mambo ya hizi dini iwe Uislamu au Ukristo basi usiwe muumini wao kuna vingi utajifunza kwa uhuru mkubwa bila kuegemea popote

Hivi ushawahi kujiuliza wakati wa uchaguzi wa Papa ule moshi mweupe unaotoka kwamba amekubalika unatokana na nini ? Hivi kwanini wanao ruhusiwa kumchagua papa ni Makadrinali tu ?
Kama primary goal ni kumtumikia Mungu kwanini hawa Makadrinali wapo wachache sana duniani ? Nadhani hawafiki 300 Afrika ikiwa sijui na watatu
Hivi ni vigezo gani hasa vinatakiwa kuwa Kadrinali ? Unafikiria kwanini viliwekwa hivyo vigezo ili kila padri asifanikiwe kuwa Kadrinali ?
Haya makanisa ya dunia yana muingiliano mkubwa sana na serikali zetu za kidunia kuliko hata lengo lao la awali la kuwaleta wanadamu karibu na Mungu

Vivyo hivyo kwa dini zingine
hakuna swali hapo

cardnali ni mkuu waapadre wote ktk nchi husika na huchaguliwa miongoni mwa maaskofu,kwahiyo katika nchi ndie mkuu wa kanisa katoliki hapo na ndio mwakilishi wa papa katika nchi husika.

vigezo vya kuchaguliwa vinaambatana na utendaji uliotukuka,uadilifu n.k kwakuwa cardinali huteuliwa na papa baada ya kufanyika uchunguzi wa kutosha juu ya majina yanayoependekezwa,kumbuka rome pia ina watu wa ujasusi waliobobea kabisa,wao ndio finally wanakubali kuwa fulani anafaa baada ya kujiridhisha na uchunguzi.
 
Kama lengo ni kumtimikia Mungu kuna haja gani ya kufanya uchunguzi wa kijasusi juu ya huyo anayetakiwa kuwa kadrinali ? Na usiniambie jibu ni kutafuta askofu asiye na dhambi maana hakuna kiumbe kilichozaliwa na mwanamke asiye mtenda dhambi ni kwa neema zake tu tunaishi

Kuna kitu cha ziada hao makadrinali wanakifanya ndio maana wanafanyiwa vetting ya hali ya juu na hao majasusi wa Vatican
 
Oh asante mkuu kwa hiyo inapotokea ukatoka ule moshi mweusi maana yake ni nini ? Hajapatikana sio ? Hajapatikana kwa misingi ipi ? Wanaopigiwa kura kuwa papa si wale Makadrinali ? Kwanini mmoja moshi utoke mweupe na mwingine mweusi ?
sijawahi sikia umetoka moshi mweusi,ule moshi mweupe hutolewa mara baada ya papa kupatikana tu....hakuna kinachotolewa kama uchaguzi haujakamilika,na ni ishara tu kwa watu wanaofuatilia uchaguzi kuwa papa kapatikana na haina maana nyingine yeyote zaidi ya ishara tu kuwataarifu walioko nje kuwa msiwe na hofu,subira imefika mwisho,jina la papa limepatikana.

sasa mengine unayoyawaza huyajui kama kumkumbuka mtu ambaye hujawahi kumuona,ndio maana mnaishia kusema "haya mambo ni siri kubwa na huwezi jua kama unafikiria hivihivi" kama ni siri nyie mliyajuaje?!!,ukiamua kufanya complication ya kila kitu unaweza na ndio maana kitu kinachoitwa "freemason" kimeteka sana akili za wajinga kwa sababu ya kucomplicate fact rahisi rahisi kama hizi.
 
Ni nini kinasababisha huo moshi uwe mweupe kama vinavyochomwa vinapaswa kutoa moshishi mweusi
siyo kila kitu kinatoa moshi mweusi mkuu

kanisani RC kuna kitu kinaitwa cheteso,hii huwa wanaitumia kuchomea ubani ambao unatumika kufukiza altare na wote walioko ndani ya kanisa na kanisa zima kwa ujumla kabla ya adhimisho la misa takatifu na wakati fulani wakati misa inaendelea.

ubani huu huwa unatoa moshi mweupe,kwahiyo mkuu usikariri kuwa kila kinachounguzwa hutoa moshi mweusi.

rangi ya moshi hutegemea aina ya material inayoungua.
 
sijawahi sikia umetoka moshi mweusi,ule moshi mweupe hutolewa mara baada ya papa kupatikana tu....hakuna kinachotolewa kama uchaguzi haujakamilika,na ni ishara tu kwa watu wanaofuatilia uchaguzi kuwa papa kapatikana na haina maana nyingine yeyote zaidi ya ishara tu kuwataarifu walioko nje kuwa msiwe na hofu,subira imefika mwisho,jina la papa limepatikana.

sasa mengine unayoyawaza huyajui kama kumkumbuka mtu ambaye hujawahi kumuona,ndio maana mnaishia kusema "haya mambo ni siri kubwa na huwezi jua kama unafikiria hivihivi" kama ni siri nyie mliyajuaje?!!,ukiamua kufanya complication ya kila kitu unaweza na ndio maana kitu kinachoitwa "freemason" kimeteka sana akili za wajinga kwa sababu ya kucomplicate fact rahisi rahisi kama hizi.
Kwa hiyo kwa sababu hujawahi kusikia umetoka moshi mweusi basi maana yake ni kwamba hakuna ?
Huyu papa wa sasa hivi ulifuatilia uchaguzi wake ? Unajua ulichukua muda gani mpaka kupatikana ? Kila aliyepigiwa kura moshi ulikuwa unatoka mweusi usiwe mbishi

Kwenye ile papal conclave wanapomchagua papa kura zisipofika two-third ya majority basi moshi mweusi hutokea na huitwa Fumata nera

Na ikitokea anayepigiwa kura amepata two-third ya majority basi hutokea moshi mweupe ambao huitwa fumata bianca

Unaponiuliza kama nimejuaje ni siri kwa maneno yako hapo juu ulisema Vatican kuna majasusi

Unafikiria kazi ya hao majasusi ni nini ?
Wanapofanya hizo vetting zao unafikiria lengo ni nini ?
Kama hakuna usiri kuna haja gani ya mtu kufanyiwa vetting ya kijasusi ?

Kabla hujatuhumu watu ni complicators ni vyema ukawa huru kusikiliza maoni yao
Cha ajubu ID yako ni complicator ila kwa vile nyani haoni kundule basi sawa

NB mwanzo kabisa nilisema ukitaka kujua mambo mengi juu ya hizi dini iwe uislamu ama ukristo usiwe muumini wao utajifunza kwa uhuru
 
siyo kila kitu kinatoa moshi mweusi mkuu

kanisani RC kuna kitu kinaitwa cheteso,hii huwa wanaitumia kuchomea ubani ambao unatumika kufukiza altare na wote walioko ndani ya kanisa na kanisa zima kwa ujumla kabla ya adhimisho la misa takatifu na wakati fulani wakati misa inaendelea.

ubani huu huwa unatoa moshi mweupe,kwahiyo mkuu usikariri kuwa kila kinachounguzwa hutoa moshi mweusi.

rangi ya moshi hutegemea aina ya material inayoungua.
Hujajibu swali langu, nafahamu kuna vitu ninatoa moshi mweupe vikichomwa, ndiyo maana nimeuliza: ni kitu gani kinachofanya moshi uwe MWEUPE kama KITU kinachochomwa kilipaswa kutoa moshi MWEUSI? Kuwa makini usikurupuke.
 
Kwa hiyo kwa sababu hujawahi kusikia umetoka moshi mweusi basi maana yake ni kwamba hakuna ?
Huyu papa wa sasa hivi ulifuatilia uchaguzi wake ? Unajua ulichukua muda gani mpaka kupatikana ? Kila aliyepigiwa kura moshi ulikuwa unatoka mweusi usiwe mbishi

Kwenye ile papal conclave wanapomchagua papa kura zisipofika two-third ya majority basi moshi mweusi hutokea na huitwa Fumata nera

Na ikitokea anayepigiwa kura amepata two-third ya majority basi hutokea moshi mweupe ambao huitwa fumata bianca

Unaponiuliza kama nimejuaje ni siri kwa maneno yako hapo juu ulisema Vatican kuna majasusi

Unafikiria kazi ya hao majasusi ni nini ?
Wanapofanya hizo vetting zao unafikiria lengo ni nini ?
Kama hakuna usiri kuna haja gani ya mtu kufanyiwa vetting ya kijasusi ?

Kabla hujatuhumu watu ni complicators ni vyema ukawa huru kusikiliza maoni yao
Cha ajubu ID yako ni complicator ila kwa vile nyani haoni kundule basi sawa

NB mwanzo kabisa nilisema ukitaka kujua mambo mengi juu ya hizi dini iwe uislamu ama ukristo usiwe muumini wao utajifunza kwa uhuru
Huyu hafahamu anachojadili nimegundua, mimi nina hoja ambayo "nahisi" umejibu kama sikosei.
Hoja iko hivii: kadri wanavopiga kura na idadi ikatosha au isipotosha unatoka moshi wa rangi tofauti, je ni mechanism gani inabadilisha rangi ya moshi?

Ahsante.
 
Huyu hafahamu anachojadili nimegundua, mimi nina hoja ambayo "nahisi" umejibu kama sikosei.
Hoja iko hivii: kadri wanavopiga kura na idadi ikatosha au isipofosha unatoka moshi wa rangi tofauti, je ni mechanism gani inabadilisha rangi ya moshi?

Ahsante.
Ni kweli mkuu sina uhakika ni mechanism ipi inatumika kwa sababu wanaojua hayo ni wale tu wenye uwezo wa kumchagua papa ambao wapo kwenye hiyo Papal conclave

Pengine kuna materials wanazichoma kutoa moshi mweusi ama mweupe
 
Kila mtu ana haki ya kufuata dini anayoitaka.

Tunaliangalia Kanisa la Katoliki chini ya mwamvuli wa Kibinaadamu.

Tunalipongeza Kanisa Katoliki kwa juhudi zake za kurudisha uhusiano baina ya Marekani na Cuba.

Pia tunalipongeza kanisa la Katoliki kwa msimamo wake wa kupinga vita duniani na kupinga "Unyanyaswaji wa namna yeyote.

Tumezinukuu jitihada za Mama Maria wa India kwa kuwatumikia Binaadamu wote.

Tokea tupate Uhuru wetu, Watanzania tumeishi pamoja kwa amani. Mwalim Nyerere alizizuia dini fulani zisiingie Tanzania. Na hizo hizo dini ambazo zilizozuiliwa, baada ya kuruhusiwa, ndio zimekuwa ni chanzo cha kutangaza chuki za kidini hapa Tanzania.

Majasusi wengi wanatumia Taasisi za dini kufanya shughuli zao. Taasisi nyingi haswa hapa Afrika zinatumiwa bila wao kujua, kupenyeza ajenda fulani kwenye Taifa.

Kuna majasusi maalumu wanaokuja kwa ajili ya kuondoa msimamo mzuri na kuleta msimamo mbaya kwenye dini kama "Ushoga", na kwenye siasa kuleta mfarakano, kwa nia kubadilisha Utawala nk

Usalama wa Taifa nchini Zimbabwe wameyadhibiti sana haya. Botswana tayari wameshawazuia kupata vibali Wahubiri kutoka nchi za nje.

Tukumbuke Majasusi wa Kisraeli ndio waliotumia njama za kuiangusha serikali ya Keneth Kaunda na chama chake kuzikwa, na wao ndio waliomuweka Frederick Chiluba Madarakani.

Tunaona dalili hizi huko Aftika ya Kusini jinsi chama tawala kinavyokamiwa, sikilizeni hotuba ya Rais Javob Zuma aliyoitoa jana.

Yanayofanyika katika taasisi za dini, yanaogopesha sana.

Leo tunaipinga Israeli au Maroko sio bure, angalia wanavyoitumia gear ya dini kuingia Tanzania.

Israeli pekee ni nchi inayovunja makanisa na kuwatesa wafuasi wa Kikiristo wenye asili ya Kiarabu. Pasaka na Krisimasi hairuhusiwi kusheherekewa kila mahali huko Israeli. Mwanasiasa wa Israeli kautukana Ukiristo wazi na kuuita ni kama sumu hatari sana lakini leo Raisi mwenyewe wa nchi ndio aliye ahidinushirikiano na hawa watu.
"Msema Kweli Ni Mpenzi Wa Mungu"

Tumeona kwenye vyombo vya habari, Serikali ya Israeli imewazuia waumini wa kanisa fulani kutoka Afrika Kusini kuingia Israeli.

Mwalim Nyerere hakuwapinga hawa bure!

Lazima tuwe na wasiwasi kuwepo kwa Israeli katika ardhi yetu. Sio Wanyonyaji damu tuu bali Wamebobea na ni wataalamu wakupandisha chuki, wakuwachonganisha kati ya "Waislam na Wakiristo" na "Masuni na Mashia".

Islamic State ya Iraki hatari iliyofanya uhalifu wa hali ya juu dhidi ya binaadamu ilipata nguvu kwa ushabiki wa kidini tuu kama vile watu wanavyoishabikia Israeli bila kusoma au kuzingatia thamani ya Ubinaadamu.
 
Asiyesoma vitabu vya unabii, hawezi elewa haya mambo, kwa kifupi ni kuwa soma kitabu cha daniel 1-5 kisha utamjua mrumi siyo wa mchezo mchezo, anasikitika kupoteza utawala wa dunia kwa sasa ila atahakikisha kuwa anashirikiana vema na serikali za mataifa makubwa ili kutawala tena dunia. Unaweza kujiuliza baada ya serikali ya marekani kuruhusu ndoa za jinsia moja, papa naye ameanza kusapoti kimya kimya uchafu huo, pia baada ya serikali nyingi kuruhusu ndoa za mikataba, papa naye kakubali kulegeza msimamo wa kibiblia kwa kukubali mme na mke kuachana kwa sababu flani flani. Papa ni mpinga Kristo.
 
Acha uongo ndugu yangu! Wapi kitabu cha Danieli kinasema hivyo?
 
uliwahi kusoma unabii au una ujuzi na elimu ya unabii ama umewahi kusoma elimu dunia kuhusu historia ya utawala wa dunia? Kitabu cha daniel kinamuonyesha Mfalme Nebukadneza akiwa ameota ndoto ya SANAMU kubwa yenye mfano wa mtu, sasa nikuulize unajua maana ya sanamu ile kiunabii? Au unajua mahusiano ya kitabu cha daniel na ufunuo(vitabu vya kiunabii). Soma vitabu upate maarifa.
 
Kanisa katoliki liko na influence kila sehemu
ndo maana Marekai walikuwa wanalipiga sana vita
Kennedy ndie Rais wa kwanza Marekani mkatoliki..
na hata kwenye kampeni zake aliwabembeleza sana wamarekani wamuamini
Hofu ya wamarekani wengi ni Rais mkatoliki kumsikiliza sana Pope na hatari zake

Kihistoria nchi zenye wakatoliki wengi zikipata Rais anesikiliza sna Vatican basi hata uhuru
wa wananchi huwa mashakani....

Kanisa katoliki lina historia chafu sana ya kulinda madikteta wakatoliki dunia nzima

na kutumiwa kwenye siasa za nchi fulani fulani mfano halisi Pope John Paul II
alivyotumika na Marekani huko Poland.....
Huna akili barmed wewe
 
uliwahi kusoma unabii au una ujuzi na elimu ya unabii ama umewahi kusoma elimu dunia kuhusu historia ya utawala wa dunia? Kitabu cha daniel kinamuonyesha Mfalme Nebukadneza akiwa ameota ndoto ya SANAMU kubwa yenye mfano wa mtu, sasa nikuulize unajua maana ya sanamu ile kiunabii? Au unajua mahusiano ya kitabu cha daniel na ufunuo(vitabu vya kiunabii). Soma vitabu upate maarifa.
Mkuu hiyo Daniel kila dini huwa inatafsiri yake. lkn chochote utakachotaka kutuletea lazima kiwe na coherence na historia. Pia lazima ujue historia imekuwa contaminated sana ili kuficha Uwezo wa kutraceback baadhi ya matukio.
 
Mbona hawa Waisrael tuna shirikiana nao tangu zamani sana hasa katika sekta nyeti ya kilimo ambao ni uti wamgongo. Wanakampuni yao hapa ya pembejeo ambazo ni bora sana nadhani inaitwa Balton kama sikosei. Mambo ya ulinzi pia wako nayo hapa wana makufuli imara na madhubuti sana kampuni yao inaitwa Multilocks kama sijakosea nayo iko kitambo tu hapa nchini.

Unataka kutuaminishia kuwa Israel ndio wamemfanya Zuma kuwa na tamaa ya kula mlungula mpaka sasa ana mizigo wa tuhuma za rushwa. Mambo ya Zimbwabwe unaweza wasingizia wa Israel kweli?

Israel tukiacha mambo ya chuki za kiimani, sisi kama taifa tukiwa tunajitambua ni mshirika mzuri mno kuliko hao wengine. Lakini tuwetunajitambua kuwa tunataka nini? Ukitaka kuwapinga na kwasababu ya chuki tu za kiiman utakuwa huwatendei haki. Muulize Obama sasa hivi yuko katika nafasi nzuri sana kukuambia shughuli Muisrael iko vipi?

Na washawasha!

Back
Top Bottom