Natamani kujua utamu wa pombe!!!

Natamani kujua utamu wa pombe!!!

Ukianza Serengeti light saa saba baada ya nyama choma..

Ikifika saa NNE ukala mchemsho ukaingia kucheki live bend unafuta cret moja.
Hahahahaaa. Kuna weekend nimeanza kunywa saa 9. Huyo mnunua pombe alikua kama anatukomoa yani. Nimekunywa weee mpaka inafika saa tatu tumbo limejaa sisikii kitu. Nikanywa maji nikabeba pochi nikawaambia nilikuwepo naona najichosha kwenda chooni halafu sijisikii kuyumba.
 
Back
Top Bottom