Natamani kujua utamu wa pombe!!!

Hahahahaaa. Huyu maswali yake atuulize siku anakunywa st anna. Saa hizi asituchoshe
Mshaanza lewa walevi humu nawaona tu[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji2][emoji1][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Ukianza Serengeti light saa saba baada ya nyama choma..

Ikifika saa NNE ukala mchemsho ukaingia kucheki live bend unafuta cret moja.
Hahahahaaa. Kuna weekend nimeanza kunywa saa 9. Huyo mnunua pombe alikua kama anatukomoa yani. Nimekunywa weee mpaka inafika saa tatu tumbo limejaa sisikii kitu. Nikanywa maji nikabeba pochi nikawaambia nilikuwepo naona najichosha kwenda chooni halafu sijisikii kuyumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…