Natamani kujua utamu wa pombe!!!

Kaahh!kazi ipo
 
πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ jamani jamani pombe hizi anajua hizo akili mbilimbili
Kanuna niamini mimi. Kuna siku napo nililewa sijui nilimjibu nini akanuna week mbili. Juzi tena alijuta kunionyesha bby wake nahisi. [emoji23][emoji23][emoji23]. Najiuliza sijui nimtafute nione kama kanuna au nimuache tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…