Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
SawaSawa ngoja nikusanye pesa za kutosha halafu nikuvutie waya nije nimwage sumu, PM digit zako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaSawa ngoja nikusanye pesa za kutosha halafu nikuvutie waya nije nimwage sumu, PM digit zako
Chizi wewe [emoji23][emoji23]
Nataka siku moja tuzungushe round mnanivuta nyie viumbe mjue [emoji23]
Kuna rafiki etu mwingine yeye alikua hanywi kabisa. Siku tukashtuka anakunywa wine. Sasa hivi anakunywa konyagi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji16][emoji16]mwisho Mimi ndo mwl sasa maana ntakuja kwa kasi
Si kasema nimeliwa sana na yeye acha aje aongeze idadi [emoji23]Haha aisee
Kweli nilimind ujue. Halafu nikawa sioni pombe kali ya kunywa sasa[emoji1][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]duuuhh!hapanaaa
Abee kakaMmmmh mdogo wangu?
Kaahh!kazi ipoOhooooo sawa mambo sihayo sasa kwaiyo hapo ni ndege wafananao ivo mnaruka pamoja.
Maana daaah mie nawivu kwa mwanamke wangu nahuwa nataka kujua her Schedule throughout the day, sometimes naogopa hii " baby leo natoka na Friendz naenda kupata bia kidogo"..hapo nibora muwe watumiaji wote,ili mwende pamoja eti eeehh?.
Aya hongera Chapombe Shunie wa Davet muonjaji....yan testing tuuu !!!
Sasa hakikisha unamvuta vuta jamaa japo mlingane ktk unywaji ... Maana naamin km ni muonjaji tu, kuna siku atakuambia Uache unywaji na uwe muonjaji, ... Sijui utakua willing kuitikia wito wake?? .
Shunie na Davet
mahondaw na Smart911
Mambo ni[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
Hahaha yani weweSi kasema nimeliwa sana na yeye acha aje aongeze idadi [emoji23]
i knowInategemea sehemu na sehemu hizo bei sehemu nyingine elf 5
Kanuna niamini mimi. Kuna siku napo nililewa sijui nilimjibu nini akanuna week mbili. Juzi tena alijuta kunionyesha bby wake nahisi. [emoji23][emoji23][emoji23]. Najiuliza sijui nimtafute nione kama kanuna au nimuache tu🙂 🙂 🙂 🙂 😀 😀 😀 jamani jamani pombe hizi anajua hizo akili mbilimbili
Eeh. Kama sebleni kwangu 5000 paleInategemea sehemu na sehemu hizo bei sehemu nyingine elf 5
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]loooh! Nyie watu bwan
Na mimi nipo kwenye hizo nne za kuvuka? Kama nipo weekend hii tufanye jambo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naomba siku hiyo niungane na ninyi.
Bia 4 za mwanzo mnajilipia, atakayevuka nalipa mimi.