Mmmh wapi huko [emoji23][emoji23] mie niko Pwani huku kabisaSio mbaya mbona miye nakaaa mbwinde huko lakini naenda mpk mjini kati kula mishikaki na shuniii
[emoji8][emoji8]Sana tu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zinatosha hizo nimekuzidi mbili tu
Sio mbaya mbona miye nakaaa mbwinde huko lakini naenda mpk mjini kati kula mishikaki na shuniii
[emoji3][emoji23][emoji23]Hapo sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] let me be chapombe kabisaaaa uzuri nanunua na hela yangu. [emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe siku nyingine au hiyo ya offer ya Don
Basi usitumie lile neno ni la watu wa ngada na mambo mengine.
Mimi situmii mkuuu ...
Mimi nimsukuma mmoja wa ndani ndani hukooo ushamba mwingiiiii[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi aiseee kutoka moyon mwangu nawakubali sana ingawa najikubali sana mwenyewe..
Lkn Sure wewe na smart nawakubali kichizi 100% . Ndio maana unaona nawataja..mpo Really sana, ingawa hamna barabara ilonyooka , ila Guys endeleen kua ivo ivo ...mnawasomesha namba watu humu mpaka basiiiii...endeleen kuwasomesha aiseee
Izi zenu izi Cc smart911 ......Cc Mahondaw ..hahahahaha nyie vijana nyinyi. Aiseeeee furaha yangu niendelee kuziona izo Cc ...mimi hata mkigombana, kwaheshima na taazima naomba mrudiane haraka iwezekanavyo kabla sijawatia bakora!!!
Mpo really, hamchoshi wala hamboi ...
mahondaw
Smart911
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lakini hapo kwenye 7 au 8 woiiiii navuta picha tu ninavyokuwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utakuwa bagamoyoMmmh wapi huko [emoji23][emoji23] mie niko Pwani huku kabisa
Huyu atakuwa hakai mbali saa sita [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na kuondoka unaondoka saa sita usiku unanipaga mawazo mm silali mpaka ufike
Mm mtu atajisumbua tu na mawazo anayojipa kuhusu mm yaaniHapo chachaaaa...m
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Atavuka pombe tamu jamaniii[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dadadeki[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]hii Kali shoga mpange boda boda prmbeni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nitavuka ila nikimaliza hiko kigingi nimeshaanza kulewa hapo naongezea mbili au tatu
Huyu atakuwa hakai mbali saa sita [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaaa kama umejua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utakuwa bagamoyo